Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Rugemalira amesema amemuandikia barua Gavana wa benki kuu Prof Luoga kumtaka awataje hadharani wanufaika wote wa escrow ili taifa liwajue. Gavana amesema atawataja watu hao pindi atakapopata ruhusa ya mahakama na si vinginevyo.
Hili series limefika patamu sana. Jiwe si huwa anafukuza wafanyakazi hadharani ghafla bin vu? I wish ajitokeze sasa na amuamuru (kama kawaida yake...) Jaji Mkuu atoe go ahead. Ruge keshachoka na sasa kaamua kama mbwai na iwe mbwai tuu. You die only once:D
 
Hi nchi ni pasua kichwa!! Tukitaka kupumua ni kuondoa dudu linaitwa CCM.
 
johnthebaptist,
Rugemalira simuombei mabaya zaidi ya hayo yaliyomkuta ila naota umauti ukimkuta kabla kesi yake haijamalizika.
Kwa huyu mzee nasikia yeye alitoa eneo waliko weka hiyo mitambo ya kufua umeme kwa makubaliano maalumu ya kupewa % Fulani kutokana na kafaida katakako patkana
Sasa hii ya kusema alishiriki pesa za viroba napatwa na kigugumizi
 
Ndio maana mkuu anasema kazi ya Urais ni ngumu. Sawa na mnyongaji kupewa kazi ya kumnyonga babaye.
Kweli CCM ni chama cha kupambana na mafisadi (ila mafisadi wa nje ya CCM tu). Mafisadi wa ndani ya CCM wana kinga maalum. Marufuku kupelekwa mahakamani wala kupelekwa kwenye "KAMATI KUU YA CHAMA" kuwajibishwa.

Wafuasi wa CCM waliopewa hela za "ESCROW" wapo mtaani wanakula bata, wanaendesha ma Land Cruiser VX, na wengine bado wapo bungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,

Hapo naona kuna PAPA atanaswa na ndoano, ndiyo maana Gavana wa Benk anapiga chenga.

NB:Rugemalila angejilipua tu maana anaushaidi na nakala ameshampe wakili wake, basi awataje moja kwa moja hapo mahakamani
 
Uzuri inajulikana na imekwisha kabidhiwa kwa serikali,hata wakifanya yao ni kazi bure,cha msingi warudishe fedha za umma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wengine wanapeta mtaani akina Chenge,Tibaijuka,Ngeleja Nk au rushwa ni kwa anayetoa tu mpokeaji haiwahusu?Vipi ambao walibeba kwa Sandarusi,mpaka leo majina yao hayajasemwa,ina maana JPM ameamua kufukia mashimo?
 
Back
Top Bottom