Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Na kumnasa Papa kunataka timing!
NI KWELI. HAPA NI KUJILIPUA TU MAANA ALIJITAHIDI KUWAFUNIKA WASIONEKANE, LAKINI WAO HAWAONI FADHILA YAKE BALI WANAENDELEA KUMTESA.

HAPA ALIPO KWA SASA HANA CHA KUPOTEZA. WAMEMWAGA MBOGA, BASI NI BORA NAYE AMWAGE UGALI.

NB: AWE MAKINI MAANA HAWA WATU AWACHELEWI KUMWONDOA MTU ANAYETAKA KUWALETEA KIWINGU.
 
Sijijui,
Wewe usiyejijua unafikiri kupitia tundu la choo au umechanganyikiwa baada ya kusisoma hoja za Ruge? Unasahau kuwa fedha zile zililipwa kwenye account za wahusika na wenye accounts hizo bado wapo kitaa wanafanya? Jifunze kuargue vividly with evidences na siyo unakurupuka tu Kama kishoka! Na usisahau hawataweza kuharibu ushahidi kwani upo katika mabenki waliyohamishia pesa zile!

Kuhusu kumterminate haitashangaza kwani ndio ibada pekee mmayoiweza CCM Jambo ambalo litakuwa humu kiasi kwani Ruge ni tycoon mwenye watu wanaomfuatilia kwa kila Jambo analolifanya! Kwa hapo andikeni kuwa mtashindwa!
 
Jinai haina fidia bwashee!

Haya ndiyo yanaleta ukandamizwaji na zile lugha za upelelezi bado unaendelea. Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa.

Tuhuma ya jinai na jinai iliyothibitishwa ni mambo mawili tofauti.

Sheria mbaya hizi zenye mlengo wa kulinda watawala zapaswa kuangaziwa kwenye madai ya Katiba mpya.
 
Haiwezekani Gavana wa BOT apate kigugumizi cha kuwataja waliopata mgawo wa Escrow ili hali wanajulikana na wananchi tunawajua halafu pale Yupo mahakani kwa hiyo kuwataja sio kosa na wala hakuwaingizi hatiani. Je, GAVANA HAJUI WALIOHUSIKA AMA NI UHUNI INA MAANA AMESHINDWA KUMTAJA HATA NGELEJA NA PROF ANNA NTIBAIJUKA...WALIOPEWA MKIMGAO KIDOGO...
Mkuu nchi hii hakuna haki kwa wanyonge..mi nawaza hivi hakuna usawa katika maisha haya...kama usawa upo kwanini mapapa hawatajwi na kukamtwa...?kumbe wanatudanganya eti wanatetea wanyonge huku Wanakula kwa mrija...hili neno wanyonge waache wanasiasa kulitumia..bora watumie wenyenyacho!!!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom