Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
b2a9222238de521539cf6be86439f3b3.jpg
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Utamuangalia wewe na ukoo wako sisi na clods TV ya waelewa
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Sema wewe na familia yako....eti kila mtu!
Shubaaamit!
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Hili beef bado bichi kabisa kama kigori mwenye miaka chini ya kumi na nane.
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Tengua kauli asee, sema wewe unaingojea. Utanisemeaje mimi na wakati simuungi mkono Bashite?

Huenda hii ID ni ya Bashite ndio maana habari haina kichwa wala miguu.
 
Tutahakikisha kesho hakutakuwa na signals zozote za analog and digital TV satellite na kwamba tutazima umeme nchi nzima!!!
Kesho njema...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom