Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Mnyonge mnyongeni.. lakini haki yake mpeni.ttcl Kama mtaendelea na Moto huu it's just matter of time kabla hamjawa tena the leading company kwenye upande wa data.

Mnavifurushii vitamu na Bei rafiki kwa uchumi huu wa msukuma Mambo Ni Moto mwendo wa 4g tu.

Kwa mikoani kupoje? Inapatikana 4G? Na vifurushi vyao vikoje? Tiririka mkuu!!
 
Mimi mwenyewe nimehangaika sana kwa muda mrefu maana huku pugu Voda na Airtel ujinga mtupu .net ni ya kugomabnia unaweza.kuja mjini ma kirudi bado wasap haijadownload MB 3

Ila hawa TTCL mjomba .speed ni kubwa kama ya dreamliner.TTCL tunawaahidi tutarudi nyumban harala sana .mlikuwa wapi?
 
TTCL kwa sasa wanajitaidi sana mpaka meru vijijini mtandao unapatikana hakika nyumbani kumenonga
 
Mnyonge mnyongeni.. lakini haki yake mpeni.ttcl Kama mtaendelea na Moto huu it's just matter of time kabla hamjawa tena the leading company kwenye upande wa data.

Mnavifurushii vitamu na Bei rafiki kwa uchumi huu wa msukuma Mambo Ni Moto mwendo wa 4g tu.

Mbona hujibu meseji za watu?
 
Weka bundles za halotel na tigo ipi yenye unafuu? Nipo mkoani kamanda wangu..
Mkuu Mi nipo Voda fanya ivi download Speedtest app ili ufanye kutest eneo lilipo lina coverage gani ndio uamue kutumia hio specific chip mimi naona bundles ziko na mfanano au minor difference kidogo mimi nina chip zote ila tu nimeona voda wako.njema apa nilipo
 
Nashukuru kamanda wangu, nitafanya hivyo.
 
Brilliant post.

Naona TTCL wanajua mbinu za marketing lakini wana kwama Ku sustain kwenye soko.

Bado naamini halotel is the best kwenye service zake.
Mtandao fulanj kuwa best inategemea na eneo ulipo
 
Back
Top Bottom