Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Kulikoni Wilayani wako hao ttcl
Au ndio wamejikita mjini tu?

Halotel walichofanikiwa ni kujikita vijijini wakiamini kila aliye mjini ana Ndugu Yake kijijini,
Kwa hilo wamefanikiwa sana lakni hawa ttcl wana minara maeneo mengi ya nchi sijui wanaifanyia mini au minara yao ya kizamani?
Nahitaji lain ya ttcl nitaipata wapi hapa dar? Niko pugu
 
Yawezekana, TTCL kulikuwa hakuna uwajibikaji na kufanya kazi kwa mazoea tu, kazi wanaiweza hawa maana miundo mbinu na hela wanazo..
Huduma bora na gawio kwa Dola, mambo mswano...
 
Mm ninayo line ya Airtel... Siku TTCL wakiichukua Airtel 100% nitajiunga nao kwa data..
 
Mi nmehamia airtel kaka yani bora niweke buku kila baada ya siku 3 ila sio kuweka 1,500 kila baada ya hizo siku! Nataka nihamie ttcl kwa hapa moshi wapo gudi kdogo
Vp mkuu Tigo na ttcl hapa A.town unaionaje.
 
Sasa mnasifia mtandao wa ttcl wakati hamjaweka ata vifurushi vyao tuone kumenogaje!! Weka hapa tuone babaa sio mnasifia tu
 
Back
Top Bottom