Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Mnyonge mnyongeni.. lakini haki yake mpeni.ttcl Kama mtaendelea na Moto huu it's just matter of time kabla hamjawa tena the leading company kwenye upande wa data.

Mnavifurushii vitamu na Bei rafiki kwa uchumi huu wa msukuma Mambo Ni Moto mwendo wa 4g tu.
Now wapo poa sana sio kama zamani.
 
Kwa mfano leo walikuwa down almost siku nzima.Wameanza kuzingua sana.vifurushi ni ghali sana.hakuna sababu yoyote ya kurudi nyumbani
 
Back
Top Bottom