Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Kulikoni Wilayani wako hao ttcl
Au ndio wamejikita mjini tu?

Halotel walichofanikiwa ni kujikita vijijini wakiamini kila aliye mjini ana Ndugu Yake kijijini,
Kwa hilo wamefanikiwa sana lakni hawa ttcl wana minara maeneo mengi ya nchi sijui wanaifanyia mini au minara yao ya kizamani?
 
Hehe..."frenchentonix", acha kujidhalilisha ndugu kumekucha fanya kazi kumbuka ky zilipigwa marufuku na Ummy dtj
 
TTCL wanakula data haraka sana kuliko motandao mingine nilinunua bundle la shs 15000. Nikapata 5GB mchana na 25GB usiku huwezi amani ndani ya siku nne sikuwa na bundle.
Nikaapa sinta tumia ttcl tena.
 
Wameshaanza kutoa huduma nje ya DSM. Wengine tupo Dodoma makao makuu tunahitaji huduma zao.
 
Sijaona vifurushi vyao na bei zake! Hivo siwezi sema chochote" Mb. Zao wanauzaje? Bei zao za kupiga mitandao yote zipoje? Vitu hivi kwangu ndo muhimu zaidi'
 
Watu wako 5G sio ndio kwanza tunautafuta 4G
 
Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!

Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!

But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.

Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!

X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!

Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!

Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!

Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!

Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!

TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
Kumbuka hawa hawa Tigo na Vodacom wanawatumia wafanyakazi Wa TTCL kwa kuwaonga kuhakikisha TTCL aisimami ili waweze kufanya biashara apa Tanzania.
 
Anhaa! Nishajua jinsia yako.

Sasa unafikiri nani hajui izo statistics zako?

Weka hoja na chambua sio unaleta frechentonix hapa.
TTCL ni nzuri, packages zao nzuri....reasonable for a common man lakini problem nime experience hata nikaitupa chip yao ni kuwa available within city vicinity only.
I reside in Kigamboni, ukivuka ile maji Kwisha! Network unaipata na Dot moja.
Tumewaeleza sana customer service....lakini organization za kitanzania with Tanzanian integrity is a problem.
Hiyo wana publicise ni jinsi walivyo tu hakuna kitu.
 
Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!

Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!

But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.

Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!

X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!

Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!

Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!

Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!

Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!

TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
Sasa kama ttcl ndio mmiliki wa mabomba ya maji na hao wengine wanakodi mabomba kutoka kwake ili wasambaze maji inawezekana vipi mmiliki wa bomba akae foleni mkuu.

Ideologically nadhani TTCL hawawezi kuja kulingana bei ya vifurushi na hao wengine hata gharama zikipanda tokana na advantage aliopo nayo ya kumiliki fibre optic internet connection na kuwauzia hao akina voda na tigo. Sasa yeye ndio supplier wa internet anakuwaje gharama kubwa wakati hao kina voda wamekodi tu kwake?
 
Umemaliza kila kitu mkuu umeongea ukweli mtupu. I hope management y ttcl waone hii.
Ni ngumu kidogo maana kuna matatizo Mawili yanaikabili TTCL kama public institution 1. Ni lazima wafuate bureaucracies za Serikali na hivyo lazima wenzao wawe mbele kila wakati na 2. Wakiachiwa wafanye wanachotaka utashangaa shirika litakufa kwa kuweka tariffs ndogo na Wafanyakazi wakawa ni wakala wa kusambaza hivyo Wafanyakazi wakanufaika na shirika kukosa mapato. Watanzania hatubebeki
 
Back
Top Bottom