James Katisha
Member
- Jan 22, 2017
- 29
- 19
Hapa ni shida kwetuuu kwetuuu kabisa Halotel
Wapumbavu hawa jamaa, week ni mb 800 ila hufikishi siku 3 lazma urudi shop ukaweke buku jex tena.Halotel walianza vizur Sana lakini Sasa ni shida
Wanakula bando Kama hawana akili nzuriHalotel wasengerema sana siku hizi
Mi nmehamia airtel kaka yani bora niweke buku kila baada ya siku 3 ila sio kuweka 1,500 kila baada ya hizo siku! Nataka nihamie ttcl kwa hapa moshi wapo gudi kdogoWanakula bando Kama hawana akili nzuri![]()
Laini yao nimeweka kapuni kwanza
AirtelHali ndio hiyo
Wwe unatumia mtandao upi?
Point natamani kandamba angeona haya madiniNiliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!
Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!
But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.
Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!
X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!
Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!
Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!
Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!
Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!
TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
Siyo kweli Mimi nimtumiaji mzuri Sana wa bundle,huwa na nunua gb 7 kwa elfu 5 na sijawahii kosa kuingia you tube, Instagram,jamii forum na Soma emails daily bundle linaenda moderate kwa speed ya uhakikaTTCL wanakula data haraka sana kuliko motandao mingine nilinunua bundle la shs 15000. Nikapata 5GB mchana na 25GB usiku huwezi amani ndani ya siku nne sikuwa na bundle.
Nikaapa sinta tumia ttcl tena.
Na tumia laini ya chuo Ni cheap mno uwezo wa ku afford Ni mkubwavifurushi na bei zake
Kwa mjini hasa dar vocha ziko available kila mahali,max malipo nao pia wanaziuzaTtcl wako vzr ila ttz ni vocha zao hazipatikani kbsaaaaa
Me nimtumiaji wa ttcl na wako vzr vibaya sana
Hivi ttcl wamefika morogoro?mi nakikubali sana kifurushi chao cha usiku 10GB kwa 1000 tu vocha unanunua hata tigo pesa
Aiseeeeh
Wanayajua sana tu tatizo lao kufanya ni kuendesha business as usual!!Point natamani kandamba angeona haya madini
Acha kudanganya watu, taarifa yako sio ya kweliInternet yote unayotumia nchini haijalishi ni mtandao gani inatoka ttcl, makampuni yote ya simu yananunua kutoka ttcl.
Acha kudanganya watu, taarifa yako sio ya kweliInternet yote unayotumia nchini haijalishi ni mtandao gani inatoka ttcl, makampuni yote ya simu yananunua kutoka ttcl.
Siyo kweli Mimi nimtumiaji mzuri Sana wa bundle,huwa na nunua gb 7 kwa elfu 5 na sijawahii kosa kuingia you tube, Instagram,jamii forum na Soma emails daily bundle linaenda moderate kwa speed ya uhakika