Rais Samia tafadhali fahamu Uhuni huu Usiovumilika unaofanywa na Polisi wako Kuingiza Watu Kinyemela Uwanja wa Benjamin Mkapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Na nitakachokiweka hapa kamwe usingekipata kutoka kwa Waziri wako very incompetent kwenye docket uliyompa na sycophant Pindi Chana wa Wizara husika uliyetuteulia.

Mheshimiwa Rais Samia kumetokea Malalamiko mengi ya Uwanja wa Benjamin Mkapa Kujaa Jana ( katika Tamasha la Simba Day ) ambalo Ulikuwemo baada ya Kualikwa na kulikopelekea Watu waliokuwa na Tiketi halali za Viwango ( Bei ) tofauti Kuzuiwa Kuingia Uwanjani wakiambiwa kuwa Uwanja umeshajaa.

Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mzalendo wako GENTAMYCINE leo ( Usiku ) nimeamua Kujilipua ( Kusema Ukweli Mchungu ) kwa Jeshi la Polisi Tanzania ( hasa wale ambao hupangwa Kusimamia Usalama na Ulinzi ) Uwanja wa Benjamin Mkapa pakiwa na Mechi Kubwa zinawahusisha Yanga, Simba na Azam za ndani ( Ligi Kuu ) na zile za nje ( Kimataifa ) baada ya Kufanya Uchunguzi na pia Kuthibitishiwa na baadhi ya Watendaji wa Mamlaka zingine Uwanjani hapo.

Je, Polisi hufanyeje?

Mheshimiwa Rais Samia Mbinu Kuu ( Ujanja ) ambao Polisi wanaopangiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa hufanya ni Kujigawa wakiwa Nje ambapo Mmoja wao akiwaona ( akiona ) Kundi Kubwa la Watu wasio na Tiketi na wenye Hela pungufu huwatangazia Kimya Kimya ( kwa Sauti ya Chini ) kuwa wajipange Watu kati ya 25 hadi 50 kisha wakae sehemu wakiwa na Pesa zao zenye Chenji Kamili.

Mheshimiwa Rais Samia baada ya Polisi huyu Kuwaandaa hao Watu wake humtonya Mwenzake aliye nae Nje ila aliyekaa nae mbali kwa kumpa Signal ( Ishara ) na baadae unaliona Gari la Wahalifu la pale Uwanjani ( maarufu Karandjnga ) linawashwa likiwa ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Nini huendelea baada ya hapo?

Mheshimiwa Rais Samia baada ya Gari hilo ( Karandinga la Polisi ) Kuwashwa Yule Askari ( Polisi ) wa mwanzo aliyekuwa Akiwaseti Watu wenye Hela pungufu ya Kiingilio na aliyewaambia wakae kwa pamoja humuita Yule Mwenzake aliyekuwa amekaa kwa mbali kisha akija alipo hujjfanya Kuwageuzia Kibao wale Watu kwa Kuwapiga Mbata na Kudai ni Wahalifu na haraka sana utaliona lile Karandinga ( Gari Kubwa la Kubebea Wahalifu Uwanjani ) linakuja haraka na mikwara kama yote na Misele mingi kisha hawa Watu ( Wahalifu wa Kimkakati na wa Uwongo ) hulazimishiwa kuingia Karandingani haraka haraka ili Ratiba nyingine ya Uhuni ianze.

Je, uhuni wao huanzia wapi?

Mheshimiwa Rais Samia ni kwamba wale Watu wakishapanda tu Karandingani Polisi Mmoja huingia ndani Kukusanya Fedha huku Yule Mwingine akiwa chini akichora mazingira akidhani Mtu Mjanja Mjanja GENTAMYCINE hamuoni wakati huwaona au Sources wangu wa Kitaarifa hunipa Taarifa Kamili.

Mheshimiwa Rais Samia baada ya yule Polisi Mkusanya Viingilio holela na vya Kinyemela Karandingani kumaliza huteremka upesi kisha Kufunga Mlango na Komeo kabisa.

Akishuka tu Polisi huenda kwa Dereva wa Karandinga ambaye huwa ni Polisi Mwenzao kisha anamuamuru angize Gari hilo ndani Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisema kuwa Wanaenda Kubeba Wahalifu wengine waliokamatwa ndani ili wawajumuishe na hawa Walionao wawapele Chang'ombe Police Post au Central kabisa ila hali huwa haiwi hivyo na badala yake Watu hawa ( waliodhaniwa ni Wahalifu ) hupelekwa eneo la Kificho mule mule Uwanjani kisha Kushushwa kwa mikwara ya Kupigwa Mbata za Uwongo na Kweli kisha kila mmoja anaelekea katika maeneo yanayokaliwa na Mashabiki wa Timu yake pendwa.

Je, hali ilikuwaje Jana Simba Day?

Mheshimiwa Rais Samia nakutaarifu bila Uwoga, Unafiki au Kificho kuwa kwa Jana tu ( Simba Day ) ambayo Ulihudhurua Uhuni huu ulifanyika zaidi ya mara Tisa ( 9 ) hivyo nakuomba nawe tusaidiane kuwa Mathematicians kwa muda huu kuwa kama Karandinga ilibeba Mashabiki Waoenda Mteremko ( waliogeuzwa kuwa Wahalifu wa Kimkakati na wa Kutengeneza ) 50 ambao hulipa Tsh 2,000/ wakiwa wanataka Kukaa kule Kajambananj ( kwa Watu wa Kawaida Kiuchumi ) na Tsh 5,000/ kwa wanaotaka Kukaa VIP B na C kisha wakaingizwa Uwanjani mara Kenda ( 9 ) ni Wangapi waliingia na Kiasi gani cha Pesa kimepatikana na ambacho Serikali imekikosa na kimeenda Matumboni mwa Askari Polisi Wahuni wachache?

Kwanini nasikitika?

Mheshimiwa Rais Samia asije Kukudanganya Mtu kuwa Uhuni wote huu ukifanyika RPC wako asiyepitwa na Mechi yoyote Uwanja wa Benjamin Mkapa ACP Muliro huwa hajui na GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa huwa hana au hapati mgao wowote katika Uhuni na huenda hata kwenda au kuonekana Kwake kila Mechi hapo Uwanjani ni katika kuhakikisha Fedha anayoitaka inapatikana kisha Maisha ya Kazi iendelee yaendelee Kweli.

Mtu ambaye nina uhakika hili huwa halijui ni Poti ( Mwetu ) wangu wa Kizanaki ninayetoka nae eneo moja Uzanakini Wilayani Butiama IGP Wambura kwakuwa yuko busy ila naamini kuanzia sasa akiipata hii Taarifa yangu GENTAMYCINE ataanza kuifanyia Kazi na hatoniangusha Mzanaki Mwenzake katika Kuwachukulia hatua hawa rogue Officers wake wanaomuabisha na kuliaibisha Jeshi lake la Polisi.

Nini Ombi langu Kwako Mheshimiwa Rais?

Tafadhali Rais Samia nakuomba agiza Watu wako ( hasa wa TISS ), wa TAKUKURU na hata Polisi Wenyewe kulidhibjti hili tatizo hasa kwa Mechi muhimu za Ngao ya Jamii Mkoani Tanga Wiki hii kwani nimetaarifiwa na Vyanzo vyangu Aminia kuwa huko ndiko huenda Gari ( Karandinga ) lisiingie Uwanjani CCM Mkwajwani mara Tisa ( 9 ) kama ilivyokuwa kwa Uwanja wa Mkapa na huko sasa likaingia hata mara Ishirini na Tatu ( 23 ) kwani nimeambiwa kuna Watu ( Wahuni ) wanataka Kuzitumia hizi Mechi Nne ( 4 ) za Mfululizo huko Tanga kupata Fedha za kuwapa Mafundi wa Ujenzi ili wafanye Finishing za Nyumba zao huku Wengine wakazifufue Gari zao aina ya Bito ( Volkswagen ) za 1968 zilizoko juu ya Mawe Majumbani mwao.

Mheshimiwa Rais Samia ni haya tu Mimi Mwananchi wako na Mzalendo wako tukuka GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilitaka nikufahamishe.

Ni matumaini yangu hutoliacha na utalifanyia Kazi ili lidhibitiwe na ikiwezekana hata Wahusika wachukuliwe hatua Kali za Kinidhamu ili liwe Fundisho kwa Wengine.
 
Hii nimeisikia pia clouds fm leo
 
Genta huwa anakaa na kutulia akiandika post ila akianza kujibu koment sasa 😂 kutoa tusi kwake kama salamu. mara pumbavu, damn fool, kenge wewe, n.k.

post kali ila comment zinakuja kuharibu kabisa.

kinywa cha mwanaume mstaarabu hakiwezi kunuka matusi, punguza matusi genta, hata jamii haipendi mtu anaetukana ovyo ovyo
 
Acha Unafiki sawa?
 
Ni matumaini yangu hutoliacha na utalifanyia Kazi ili lidhibitiwe na ikiwezekana hata Wahusika wachukuliwe hatua Kali za Kinidhamu ili liwe Fundisho kwa Wengine
"Mheshimiwa Rais Samia Mbinu Kuu" Huyu naye ni rais wa wapi!
Kuna shida kwenye mfumo wa umememwili.
 
Aaahaaaa,mkuu mtani wangu GENTAMYCINE Asante Kwa ubuyu huu,nakuahidi tutalishughulikia jambo hili haraka sana

Ila jambo dogo kama hili halimuitaji Rais,wapo wasaidizi wake wanaliweza

Namanisha ngazi ya wizara,taasisi(tff),mkoa,na wilaya
 
Ni vyema ushauri ukafanyiwa kazi Kwa haraka ili mambo haya yasijirudie kwenye next metch.

Umeandika ukweli mtupu na Kwa kufanya uchunguzi wa kifiche safiii sanaaa
 
Back
Top Bottom