RPC Iringa: Watu wa Iringa wasipolewa pombe ya ulanzi hawawezi kufikiri vizuri

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,775
Huyu RPC atutake rashi watu wa Iringa Kwa haya matusi.
====

"Kihistoria ukifatilia utagundua watu wa Iringa ni watu waliokuwa wanajinyonga sana Nathaniel inatokana na tamaduni, Mila na Desturi zao.

Watu wa Iringa ni wakarimu lakini wanahitaji elimu zaidi kwa sababu kuna baadhi ya maeneo mfano unakuta wanatumia pombe Ulanzi, ile ulanzi inawafanya wanakuwa na maamuzi yasiyo sawa hawezi kufikiri vizuri kama akiwa hajalewa.

Hivyo tunahitaji kuwabadilisha watu kama wanaokunywa pombe asubuhi ni kama vile mila" - ACP. Allan Bukumbi, ndc - Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa (RPC)

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1706943669968720045?t=NjXCH_Ov6TColg6zEjBWsA&s=19
 
Back
Top Bottom