RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Andengenye hajawahi kuwa CP ila alikuwa ni SACP

SACP alikuwa kipindi hicho zaman sana kipind akiwa Rpc wa moro nadhan then akapanda kuwa DCP mpaka CP fuatilia mkuu kipindi anateuliwa alikuwa CP na sasa hivi anatumikia cheo cha CP baada ya kutenguliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Saluti katika vy
Ni CP

Sent from my iPhone using JamiiForums
kwani tofauti ya SACP na CP ni ipi maana sielew unaposema Andengenye alikuwa CP wakati alikuwa SACP akiwa RPC Arusha...hebu nieleweshe tofaut ya SACP na CP pengine hujui Makamishna Police wanaanzia Rank gan japo nimepost hapo juu
 
Hapo umeniacha.
Wanalingana kwa Mshahara,Majukumu au nini?
Sijaelewa kabisa,ulinganifu huo umefata vigezo gani?
Ipo equipment ya ranks. Utaona wanapokutana who salute first !
Huyo mwanangonjera wa Ar hajui kitu...
Nakumbuka wakati wa vita wapo police walikuja kutokana na uzoefu wao. Hawa maafisa walivalishwa magwanda na vyeo kutokana na equivalency hiyo...
Again fuatilia wakutane wawili ktk event yoyote utaona nani senior.
Hata wakijipanga say kupokea mgeni angalia nani yupo kulia wa kwanza. Seniority ipo hivi unakaa kushoto ya aliye senior kwako
 
Saluti katika vy

kwani tofauti ya SACP na CP ni ipi maana sielew unaposema Andengenye alikuwa CP wakati alikuwa SACP akiwa RPC Arusha...hebu nieleweshe tofaut ya SACP na CP pengine hujui Makamishna Police wanaanzia Rank gan japo nimepost hapo juu

3.SACP 2.DCP 1.CP
Cp ndo rank kubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Saluti katika vy

kwani tofauti ya SACP na CP ni ipi maana sielew unaposema Andengenye alikuwa CP wakati alikuwa SACP akiwa RPC Arusha...hebu nieleweshe tofaut ya SACP na CP pengine hujui Makamishna Police wanaanzia Rank gan japo nimepost hapo juu
CP ni rank before IGP. Kabla ya CP unakuwa DCP. Kabla ya DCP unakuwa SACP. Kabla ya SACP unakuwa ACP. Kabla ya ACP unakuwa SSP. Kabla ya SSP unakuwa SP. Kabla ya SP unakuwa ASP ....hii ndo nyota 3
 
alikuwa CP kitengo gan ndan ya Police...maana fuatilia Andengenye alikuwa n RPC Arusha akiwa na cheo cha SACP..ndio akaenda kuwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA

🤣🤣🤣🤣 mkuu andengenye hakuwa kamishina wa magereza alikuwa zimamoto na cheo chake kipindi anateuliwa kulikuwa CP fuatilia rekodi zako vizuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
alikuwa CP kitengo gan ndan ya Police...maana fuatilia Andengenye alikuwa n RPC Arusha akiwa na cheo cha SACP..ndio akaenda kuwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA

Andengenye alikuwa SACP kipindi akiwa RPC ila baadae alipandishwa cheo mpaka kuwa DCP kipindi cha said mwema then akapanda tena mpaka CP

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uliuliza btn SACP na CP nawajua hao wengine mbona mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Baada ya IGP anakuja DIGP
Andengenye ndan ya POLISI alikuwa ni RPC Arusha akiwa na cheo cha SACP ndio akabadilishiwa majukumu kwenda MAGEREZA kuwa kama KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA...
 
Baada ya IGP anakuja DIGP
Andengenye ndan ya POLISI alikuwa ni RPC Arusha akiwa na cheo cha SACP ndio akabadilishiwa majukumu kwenda MAGEREZA kuwa kama KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA...

Andengenye alikuwa zimamoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Andengenye alikuwa SACP kipindi akiwa RPC ila baadae alipandishwa cheo mpaka kuwa DCP kipindi cha said mwema then akapanda tena mpaka CP

Sent from my iPhone using JamiiForums
hapa ngoja nifuatilie japo Polisi ni upande wangu wa pili ila taarifa zake nitapata kiongozi
 
Back
Top Bottom