weeee,afadhali umekuja nilipokuwa nakusubiri.
kwa taarifa yako,siro anapiga salute kwa mangu,ndio maana mara baada ya kutenguliwa hakuripoti makao ya polisi,alikuwa analala nyumbani kwake.
cheo cha igp ni cha juu kabisa,kama atapewa kijana wa miaka 25,akamaliza na rais baada ya miaka 10,yaani akiwa na miaka 35,inabidi akalale hawezi rudia nguo za zamani sababu muda haujaisha.
ila kama akipewa majukumu mengine nje ya polisi kutokea hapo kwenye ukamishna,kama yule aliyekuwa takukuru sawa.
Sent using
Jamii Forums mobile app