RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa Mgambo mojaa... asieee sema wame alikuwa akija na yale mabanzi yakee...
Nilikuwa nae b coy ,,na matalya
 
Mmh...Matalya sana tu kina Kabea..Husnaa!!
Husna alikuwa means kinouma.Alikuwa kafungasha nyuma.Kuna bite alikuwa mzuri sana Kuna raida alikuwa kama teja hivi.Kabeya tall hii na English ya this time tomorrow. Wame mtata.IBRA mtata..kipele fala tu
 
[emoji38]Asije akajimiminia risasi tu, maana Stress zinawasumbua sana hawa, na wanakosa stress management bado akiingia Jf mnampa makavu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Huyu dogo yupo detail hadi leo
 
Ma guy KUWHI [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]ma niga kuwhi
Watu Wasiojua Mngekaa Kimya Tu, Jeshi Yaani ACP Alingane Na Brigade General
Hakuna Hata Utaratibu Huo


ACP Hata Huwezi Kulinganisha Na Warrant Officer Class One
 
mkuu wa majeshi~ni mkuu wa majeshi ya ulinzi(anga,maji,ardhi),si na usalama.
mengine yana wakuu wao.
sherehe za kitaifa zenye gwalide zinaandaliwa chini ya jwtz,ndio sababu cdf anasimama kwa wote.
IGP anakuwa chini ya CDF kiprotokali ila si kimajukumu,haripoti kwake.
Kwa mantiki hiyo jeshi ndio chombo cha juu cha nchi kiki ongozwa na amir jeshi mkuu
 
Huyo meja alifanya kosa kubwa sana kuwai kutokea katika historia ya ulimwengu
Wewe hujui kitu ni mshabiki tu kwa kusikia vijiweni. Zamani instructors wengi wa jeshi hawakuwa na elimu ya kutosha na ndio waliwakaririsha watu uongo. Mnaongea tu from no where, hamuweki hata reference moja. Mmewekewa vifungu vya katiba, sheria za bunge, maana ya commissioned officer. Lakini bado mnabisha bila hoja yoyote. Eti Commissioner wa Polis sawa na Luteni usu, hivi nyinyi mna akiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23] hivi mnajua hata mshahara wa commissioner au mnaongea tu.
 
Kuna mwanajeshi mmoja alikua na shida gerezani kuna ndugu yake alifungwa akaja kumwona, alipofika pale akaomba akutane na mkuu wa gereza ambaye ni ACP akapelekwa kwa mkuu Cha ajabu hakupiga salute wakati yuko full katika uniform kisa yeye ni captain! Mkuu wa gereza akaamuru apelekwe selo ya jela na taarifa ikapekekwa kwa kamanda kikosi wake ndo akaja kumtoa kwa kumwombea msamaha.. ujuaji mwingine waufanye huko vikosini kwao sio kwenye kaz za watu.
Hizo ni hekaya za abunuwasi. Hakuna sheria ya kumuweka afisa au askari mahabusu kwa kutosaluti. Na huwezi kufananisha TPDF na polisi au magereza ni vitu tofauti kimuundo mpaka majukumu.
 
Weka na gazetted ndio nikujibu
[emoji23][emoji23] sasa hiyo inahusikaje hapa, kwanza hata neno lenyewe lina maana ya moja kwa moja sidhani kama linahitaji jibu langu. Yaani mmeamua kubisha tu ili mradi mshinde. Hamtaki kujifunza mambo mapya ndo tatizo lenu basi mi nikubali tu kuwa Polisi sio Jeshi [emoji23][emoji23][emoji23] ni idara ya raia, kwahiyo hawatakiwi hata kumpigia salute afisa yeyote wa jeshi hata kama kamzidi cheo. Toka lini raia akampigia salute askari. [emoji23][emoji23][emoji23] Asante Mkuu jioni njema.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haya majeshi yana Rank zake, jeshi namba moja ni TPDF. Hii "F" Ni force hayo majeshi mengine hayana hiyo kitu, ni majeshi ya shughuli za kiraia. Jielimishe dada. Maofisa wa jeshi wote wanavalishwa vyeo na Raisi.
Kwa hiyo Police kuitwa TPF,Tanzania Police Force ni kosa ?
 
Katika tukio la kifo lililotokea majuzi kule Arusha likimuhusisha mwanamke(marehemu)na askari wa JWTZ. Wakati RPC wa Arusha anaongea na waandishi wa habari alitoa kauli ambayo alisema kuwa ktk vyeo vya JWTZ anayemzidi kwa cheo ni Brigedia Jenerali kwenda juu!! Najiuliza ulinganifu huu amezingatia vigezo/muongozo upi?! RPC yeye ni Assistant Commissioner of Police(ACP). Wajuzi wa haya mambo ya vyeo naomba ufafanuzi plz.
Mkuu kulikuwa na tukio gani ?
 
Gwaride ni la JESHI na maanisha TPDF.... Ndio maana wakuu wa Guard zote lazima wawe wanajeshi... Hakuna mkuu wa Guard Polisi ama magereza..
Acha uzwazwa kila guard huwa na askar wa jeshi husika acha kutudanganya mara ngapi tunaona katika sherehe mbali mbali za kitaifa na sema parade commender huwa Ni tpdf koz majeshi mengne huwaalikwa katika sherehe hzo wadanganye wasiona na kujua
 
Back
Top Bottom