Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Kaendeleza wapi bana kaiba hapo benki kuu weeee ndio msingi wa utajiri wake. Kitu kimoja unachodhihirisha hapa ni kuwa wewe ni mdogo kiumri hivyo hukumbuki wizi huo.
 
Rostam Aziz alimuandama sana mama yangu mzazi.
Aminata B Ruhinda Ntare , kwa sisi tunaomfahamu RA aka The 'KM', si kweli kuwa ni yeye alimuandama mama yako mzazi, naomba niamini mimi, mama atakuwa aliandamwa na vidampa fulani tuu ili kumtisha tisha, but not RA!.
Kama anataka kujaribu ku-bully and victimise the next generation, that is up to him.
No sio yeye, huyu sio mtu wa kujaribu, watu wa kujaribu ni wale wa kubahatisha, huyu sio mtu wa kubahatisha!
Na umeshaonyesha ukweli uko wapi kwasababu kama kwenda na ku-verify kwa registrar kama Rostam Aziz ni Harvard graduate wa ukweli itakuwa "ku-mess-up" naye, alipata degree huko kweli ?
Tanzania hii, kuna watu you can mess with na kuna watu you can't!.
P
 
TENA HII COMMENT NAI-SAVE.

Hata nikiteguka, watu watajua waangalie wapi.
ikitokea ukatenguka, wewe jua ni umejitengukia tuu mwenyewe, na sio yeye!, kama unadhani ukitenguka kuna watu watajua waangalie wapi, naomba nikuhakikishie, ikitokea, hakuna mtu yoyote atakayejitokeza kuangalia popote, kwasababu kuna watu sio wa kutengua!.
P
 
Rostam Aziz anajijua kuliko wewe na yeye anajijua kuwa ni jambazi tuambie zile silaha walizo kamatwa nazo familia yake na nyara za serikali zilikuwa za nini ?tena wakiwa ni matajiri kabisa ambao wana mitaji ya kufanya mambo halali ....utajiri wote wa Rostam azizi ni pesa za ufisadi huyo jamaa yupo juu ya sheria na haki yote anaua amtakaye na kumwacha ai amtakaye hakuna wa kumuuliza, kaua wengi sana huyo ..kuanzia migodini kafukia binadamu ...kaua na sumu wanavijiji kutoka migodi yake ...au unataka tupost picha hapa tukuonyeshe shehena ya silaha walizo kuwa wanamiliki kiharamu zile silaha nyingi vile maana yake wana mtandao wa kigaidi ..yeye na mdogo wake walikamatwa na bunduki zaidi ya 200
Mkuu Lwiva , please stop this!, hata kama wewe hujipendi, sisi tunakupenda!, hii confidence ya pen name ya jf, won't be able to protect you, unless na wewe unataka kujitoa kama Jesus?, angalau kwa Jesus mwili tuliuona, akateswa, akafa, akazikwa ndipo akafufuka, lakini wewe...

Ni ushauri tuu!.
P
 
Huyu baba mwenyewe nilishasema sina any relationship naye and as we speak nimemblock na nimefuta namba yake ya simu.
Mtu akiishakuwa ni bilogical parent wako, the relationship ni DNA, kusema huna uhusiano ni kujifurahisha!, unaweza ku mu ignore, ukamblock, ukafuta namba yake ya simu, but you cant erase the DNA unakwenda nayo 6ft under na siku unasindikizwa ni yeye ndiye anatajwa baadaya ya kufunikwa ukiwa wewe peke yako, na sio huyo wa kufikia!.
P
 
Personally, I believe in freedom of expression but posting this information on this forum seems immature. Arooooooo, yaani unajivunia mom yako...ku.....na mzungu....what a moron person.
Mimi namuunga mkono kujivunia mama yake kutoa ile kitu yake kwa mzungu, yeye ndio akazaliwa, natamani wanawake wote watoe hiyo kitu yao mahali sahihi, kwa mtu sahihi atakaye toa mazao bora, sio unalipa jitu halieleweki, unajazwa unatelekezwa unaishia kutujazia machokoraa mitaani! uamuzi wa hiyo kitu yao dada zetu wawape nani, nimewashauri

Ushauri Kwa Mabinti: Kwa Kadri Unavyokuwa Hard To Get, Ndivyo Unavyozidi Kupendwa, Kuthaminiwa!, Ukiwa Easy Come, Easy Go!​

P
 
Pascal Mayalla (I have tagged you for posterity purposes since this comment is in response to the claims you made above — there is no need for you to respond to my comment).

I have said what I said.

I do not want to have a back and forth conversation with you about these things. I know what I know and I will always stand by the things I have said/written/say/write. Nothing will ever change that.

You are quite visibly asserting that Rostam Aziz and his alleged network that includes past and present Tanzanian government officials are all-powerful and can kill me and no one will look for me… additionally insinuating that the group/network/cartel in question killed both President John Magufuli and Ambassador Humphrey Polepole — what chance could I possibly have of surviving if they choose to do the exact same thing to me ?

Hata kama hamna mtu atakayenitafuta wakiniua, Mungu aliyeniumba atakuwa na mimi.

Sina kingine cha kusema. Naomba usiendeleze maongezi.
 
I have said what I said.

I do not want to have a back and forth conversation with you about these things. I know what I know and I will always stand by the things I have said/written/say/write. Nothing will ever change that.

You are implying that Rostam Aziz and his network are all powerful and as you inferred can kill me and no one will look for me……

Hata kama hamna mtu atayenitafuta wakiniua, Mungu aliyeniumba atakuwa na mimi.

Sina kingine cha kusema. Naomba usiendeleze maongezi.
Wewe kajamba nani Bin Pangupakavi wakuue kwa sababu gani?

Wewe utakufa kwa umaskini wako na stress zako tu. You are a worthless, utterly contemptible and bring nothing of value as a human being
 
Wewe kajamba nani Bin Pangupakavi wakuue kwa sababu gani?

Wewe utakufa kwa umaskini wako na stress zako tu. You are a worthless, utterly contemptible and bring nothing of value as a human being

There is nothing that you can say that will ever make me not write/tell the truth.

Since my first post on Jamii Forums on December 12, 2024 up to this present moment — I have never called anyone any names — I deal only with arguments and facts.

You resort to name calling because all you do is defend kleptocrats and killers.

You probably are one of them. The venom you spew means you take what I say personally. You might just be a part of this cartel that has caused so much bloodshed and poverty in Tanzania.
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unaninunua kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikazaliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Mkuu punguza uchawa kidogo hata kama huwezi kuscha kabisa.
 
Back
Top Bottom