Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Labda wameco-opt ID za zamani (allegedly). Either kwa kuwalipa ku-post mambo yao or even better kuzinunua kabisa (allegedly) ?

Hiyo option 2 is actually smart kwasababu ukijaza ID mpya tu wate wangegundua haraka zaidi (allegedly).
Ahaa, hii inaleta maana zaidi, kwahiyo haipingiki kwamba kuna flow ya funds huwa inafanyika ki uhalisia
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Fisadi papa anahaha, chawa front, back, left, right and center. Kudadadadadeki, Polepole endelea kuchochea moto tuone jinsi counterattacks zitakavyoendelea kuja.
 
IMG_0931.jpg

Photo credit to Mama Lulu (otakoyakisoba) when discussing corruption in the Philippines on TikTok.
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
**** list watu 4.....kuwa eliminated ili inchi ipumue....
 
Nenda ka verify. Don't messup with RA, bongo ipo na yuko strategic

Mpaka imebidi nirudi kwenye hii thread -- let us unpack this threat that you have made against me.

What are you implying when you say Rostam Aziz is strategic and that I should not, I think what you meant to say was, mess with him ?

Are you insinuating that Rostam Aziz and the rest of his alleged network (which allegedly includes past and present high-ranking officials in the Government of the United Republic of Tanzania) are capable of kidnapping, torture, and murder ?
 
Uchawa wa kiwango hiki sio mzuri.

Rostam hakuzaliwa Mwisi wala hakuwahi kuzaliwa sehemu yeyote Igunga. Uzaliwa wa Mwisi ulikuwa wa kubumba tu ili kutia uzito agombee ubunge na kupenya kwenye mtandao. Kwa hiyo akatafutiwa mji wenye waarabu huko Mwisi na kuzingia alizaliwa huko. Akatafutiwa mpaka shule ya uongo kwamba alisoma huko Baada ya kujivua gamba uzaliwa wa Mwisi ulikufa
 
Back
Top Bottom