Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Wakati mnacheza pamoja, ufisadi pia mlijifunza pamoja? Kwa hiyo na wewe ni fisadi kama yeye? Bandiko lako limeniachia maswali.
 
Rostam Aziz alimuandama sana mama yangu mzazi.

Kama anataka kujaribu ku-bully and victimise the next generation, that is up to him.

Na umeshaonyesha ukweli uko wapi kwasababu kama kwenda na ku-verify kwa registrar kama Rostam Aziz ni Harvard graduate wa ukweli itakuwa "ku-mess-up" naye, alipata degree huko kweli ?
Nimekuachia hiyo kazi wewe nenda uka VERIFY. Kumbe mna chuki za kifamilia??
 
Mpaka imebidi nirudi kwenye hii thread -- let us unpack this threat that you have made against me.

What are you implying when you say Rostam Aziz is strategic and that I should not, I think what you meant to say was, mess with him ?

Are you insinuating that Rostam Aziz and the rest of his alleged network (which allegedly includes past and present high-ranking officials in the Government of the United Republic of Tanzania) are capable of kidnapping, torture, and murder ?
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.

Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.

Kwani hiyo RA alipofisadi hela hauiwagawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi
 
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.

Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.

Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi

I will never in my life be jealous of someone like Rostam Aziz or anyone in that network.

Say whatever you want. The entire country now knows exactly what kind of man he is.

He and the rest of his syndicate will never recover from this.

He is now riddled with allegations of committing murder and graft and you think it is all because of jealousy ?

You will never be able to spin this!

After decades of abusing this nation and its people, it is all finally out in the open and those who facilitated the pillaging of this country, those who were trusted to protect this nation as civil servants and politicians and failed us due to their own greed -- the truth has caught up with them.
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki

Wacha weeeeh.... Umewahi mpongeza mama yako kwa kuliwa na mzungu ukazaliwa wewe
 
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.

Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.

Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi

Hapa ulisahau ukatumia ID hii ukaacha ile ya kwanza. Huwa sometimes kunakuwa na kujichanganya... 😀
 
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.

Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.

Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi

Impoverishing a nation and then pretending to be industrialists --- maigizo tupu.
 
I will never in my life be jealous of someone like Rostam Aziz or anyone in that network.

Say whatever you want. The entire country now knows exactly what kind of man he is.

He and the rest of his syndicate will never recover from this.
Just perish, RA and his family will prevail because they are re investing more than 70% of their fortune right here in Tanzania. Hence providing goods and services, employment and tax remittances to national coffers
 
Just perish, RA and his family will prevail because they are re investing more than 70% of their fortune right here in Tanzania. Hence providing goods and services, employment and taxe remittances national coffers

Reinvesting our own money (allegedly)?

Lolololololololol

Ni vya kwetu (allegedly).

Na kuna siku sitahitaji kuandika allegedly -- VYOTE VITATOKA NA VIMESHAANZA.

There is no truth that can remain hidden.
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Impoverishing ya wapi? Kufufua viwanda vya Morogoro vilivyokufa ni Impoverishing? Endeleni kupiga majungu

You are lying and you know it.

Everybody knows it.

Just because Rostam Aziz has been protected by our corrupt government for decades does not mean other intelligence services and governments do not have information on everything he has done.

Even our own corrupt government has all the information on him and his network, it is because of the impunity we have that he has never been charged with anything.

President Magufuli should have formally charged all of them when he had the chance, not just gotten part of our money back (allegedly).

Na ndio maana mnalialia kuwa Rais Magufuli aliharibu uchumi, kwasababu aliwanyanganyaga hela mlizoiba.
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Impoverishing ya wapi? Kufufua viwanda vya Morogoro vilivyokufa ni Impoverishing? Endeleni kupiga majungu

Continue going back and forth with me so I can have the opportunity to fully discuss the extent of the criminality of his dealings with the government and please give me the chance to formally implicate the other members of wanamtandao.
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Kwa hiyo yeye "hapana kuwa miji"/chorii kapeto?Ungetuelekeza tangu mapema aiseee!
 
Back
Top Bottom