Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Mkuu punguza uchawa kidogo hata kama huwezi kuscha kabisa.
Mimi sio chawa maana mimi sio lofa,shule nimeenda tena nje ya nchi hii,nina wake 2 mmoja mtanzania na mmoja ni mtu kutoka nje ya nchi,kama ambavyo wazazi walivyokuwa mmoja alikuwa mtz na mwingine mzungu,vipi niwe na shida hata niwe chawa? huyo rostam tumecheza nae utotoni,wazazi wetu walikuwa marafiki,nimemjua toka mwisi huko igunga,mahali ambapo wewe hungeweza kuishi maana palikuwa porini mno.Acha kukurupuka kuita watu machawa.Wewe hiwezi kunifikia mimi kwenye maisha yangu japo asilimia 4%.Pambana kutafuta maisha ulee watoto wako vizuri.
 
Mkuu Lwiva , please stop this!, hata kama wewe hujipendi, sisi tunakupenda!, hii confidence ya pen name ya jf, won't be able to protect you, unless na wewe unataka kujitoa kama Jesus?, angalau kwa Jesus mwili tuliuona, akateswa, akafa, akazikwa ndipo akafufuka, lakini wewe...

Ni ushauri tuu!.
P
Huu uoga wenu ndiyo umetufikisha hapa tulipo, huyo fisadi papa Rostam ni devil in a human form.
Yaani all the crap💩 of praising him ni kwa sababu ya kumuogopa kuwa atakufanyia maovu? You're shamelessly pathetic, you've just exposed your through and through lack of dignity.
Bullies intimidation don't scare everybody, some have the needed nerves to stand their ground.
 
Kama yule Blaza wangu,with all his mighty powers,ameondoshwa!,mimi nani?!, Yule bwana mdogo wangu wa Kuba,unajua kilichompoteza?!,

Hata kwa urais 2030, kama chaguo ni huyu ,https://www.jamiiforums.com/threads...0-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/, then njia inasafishwa inakuwa nyeupe,akitokea yeyote atakaye weka kiwingu,cha moto kitamkuta!,watu hawataki mchezo!

So mighty is right mmmmmh? Pure tyrant devilish system, deeply cruelly devilish.
 
Back
Top Bottom