Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Anaweza akakufanya matusi.Sitaki. Utanifanya nini ?
Anaweza akakufanya matusi.Sitaki. Utanifanya nini ?
Anaweza akakufanya matusi.
Duh 😇Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.
Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Inawezekana
Kwa namna ulivyoelezea inaleta maana fulani, kwamba kuna watu labda hulipwa ili kutengeneza narrative fulani ili kupigia chapuo ajenda fulani. Lakini hiyo kwamba wanalipwa 7000 kwa kila post, naona kama sio kweli kwa sasa, japo kwa zamani may be ilikuwa hivo.
Maana saa nyingine ID maarafu ndo huwa zinafanya hiyo kazi unajiuliza ikiwa ni kweli wanapokea ujira wa 7000 ili kutetea ajenda
Hii kitu iliasisiwa na Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM taifa,ali recruit vijana wengi wasio na ajira, waitetee CCM mitandaoni kwa ujira wa shilingi 7,000 per post, mara jf ikavamiwa na machawa wa CCM wakawa wanashindana kupost humu na kuvuta buku saba kila post. Polepole alipoondolewa uenezi akaja Shaka na utaratibu wake, CCM ikaanza kudorora, Shaka akaondolewa akaletwa Sofia, akashindwa kabisa!,sisi makada wa CCM, nikiwemo mimi tukajitolea kusaidiaHivi uhalisia haswa wa hii narrative ya buku 7 ni kitu gani? Maana naona imekuwa ikitajwatajwa sana jukwaani
we kimwari bado upo mujini!!Huu uzi upelekwe jukwaa la JF chit-chats and Jokes.
Huu ndiyo ukweli mchungu ambao watu hawataki kuusikia. RA ni Havard graduate aliye changanya utajiri wa marehemu baba yake kwenye sekta ya ngozi (hides and skin export) na ukaribu na wanasiasa wa Tanzania. Tuache wivu na Rostam, yupo Kenya, SA, South Sudan na Dubai na kote huko anafanya biashara kubwaHuwa unavuka vipi barabarani kwa akili hii?Mshukuru sana Muumba umeweza kusurvive hadi leo.
Watu wa CCM mnapenda kudandia mashule ya watu. Huwa mnajua tunaweza kwenda kwa ma-registrar wa mashule mnayotajataja na kuverify ?Huu ndiyo ukweli mchungu ambao watu hawataki kuusikia. RA ni Havard graduate aliye changanya utajiri wa marehemu baba yake kwenye sekta ya ngozi (hides and skin export) na ukaribu na wanasiasa wa Tanzania. Tuache wivu na Rostam, yupo Kenya, SA, South Sudan na Dubai na kote huko anafanya biashara kubwa
Nenda ka verify. Don't messup with RA, bongo ipo na yuko strategicWatu wa-CCM mnapenda kudandia mashule ya watu. Huwa mnajua tunaweza kwenda kwa ma-registrar wa mashule mnayotaja taja na kuverify ?
Hata kujificha umeshindwa.Ni vitu vikubwa sana,Mungu akubariki sana
Utaumia sana kwa kuambiwa ukweli.Roho mbaya haijengi,ukiona mwenzsko kaendelea,na wewe tafuta mbinu uendelee,acha kupoteza wakati kwa kumsema vibaya,
Nenda ka verify. Don't messup with RA, bongo ipo na yuko strategic
Unfortunately haya maombi jinsawa na kupiga keleleTumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.
Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Hii imeniuma sana😭😭...kwamba alikua kajificha na uchizi wake kimyaaa,?,!!Nilijua nshawahi kuona na kusikia kwa tahira,kumbe ulikua umekaa mahali kimyaa
Sina sababu ya kukudanganya,samia hanijui,kikwete tuliwahi kukutana mara moja but marehemu mwalimu alikuwa ni family friend wa mama yangu kwani ni mwalimu ndio alinirejeshea uraia wangu wa tzKama ni kweli sawa mkuu, mko vizuri
Ahaa, hii imeeleweka vema mkuuHii kitu iliasisiwa na Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM taifa,ali recruit vijana wengi wasio na ajira, waitetee CCM mitandaoni kwa ujira wa shilingi 7,000 per post, mara jf ikavamiwa na machawa wa CCM wakawa wanashindana kupost humu na kuvuta buku saba kila post. Polepole alipoondolewa uenezi akaja Shaka na utaratibu wake, CCM ikaanza kudorora, Shaka akaondolewa akaletwa Sofia, akashindwa kabisa!,sisi makada wa CCM, nikiwemo mimi tukajitolea kusaidia
P