Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Rostam Aziz anajijua kuliko wewe na yeye anajijua kuwa ni jambazi tuambie zile silaha walizo kamatwa nazo familia yake na nyara za serikali zilikuwa za nini ?tena wakiwa ni matajiri kabisa ambao wana mitaji ya kufanya mambo halali ....utajiri wote wa Rostam azizi ni pesa za ufisadi huyo jamaa yupo juu ya sheria na haki yote anaua amtakaye na kumwacha ai amtakaye hakuna wa kumuuliza, kaua wengi sana huyo ..kuanzia migodini kafukia binadamu ...kaua na sumu wanavijiji kutoka migodi yake ...au unataka tupost picha hapa tukuonyeshe shehena ya silaha walizo kuwa wanamiliki kiharamu zile silaha nyingi vile maana yake wana mtandao wa kigaidi ..yeye na mdogo wake walikamatwa na bunduki zaidi ya 200
 
Continue going back and forth with me so I can have the opportunity to fully discuss the extent of the criminality of his dealings with the government and please give me the chance to formally implicate the other members of wanamtandao.
Kwani baba yako hakuwa mwanamtandao? Je angepata nafasi alizopata kirahisi tu? Lama fedha yake alifanyia mambo mengine shauri zenu. Acha kutujazia servers hapa
 
Kwani baba yako hakuwa mwanamtandao? Je angepata nafasi alizopata kirahisi tu? Lama fedha yake alifanyia mambo mengine shauri zenu. Acha kutujazia servers hapa
HAHAHAHA Asante sana !!!

Go back to my post from December 2024. Oh wait, you can't because they deleted it.

Huyu baba mwenyewe nilishasema sina any relationship naye and as we speak nimemblock na nimefuta namba yake ya simu.

I will never have anything to do with him primarily because of his relationship with that heinous group.

Who do you think you are talking to ?

Unafikiri ninafanya maigizo hapa JF.

This is who I am and this is what I believe.

Unakwepa vya Rostam unaleta vya huyo unafikiri vitanitoa kwenye reli.

Mimi huyo ni baba yangu, Rostam ni nani kwako ?
 
I think I am talking to a stressed up person who is envious of other people who have used their brains and few resources to rise and build economic empires. Jelousy is very poisonous than cyanide

You have just admitted that the network exists and they used it to make money together thereby implicating them as they have both always been politically exposed persons.

Hawa watu wanaopaswa kuwatetea wanawaingiza shimoni.

Goodbye.
 
Rostam Aziz anajijua kuliko wewe na yeye anajijua kuwa ni jambazi tuambie zioe silaha walizo kamatwa nazo familia yake na nyara za serikali zilikuwa za nini ?tena wakiwa ni matajiri kabisa ambao wana mitaji ya kufanya mambo halali ....utajiri wote wa Rostam azizi ni pesa za ufisadi huyo jamaa yuoo juu ya sheria na haki yote anaua amtakaye na kumwacha ai amtakaye hakuna wa kumuuliza kaua wengi sana huyo ..kuanzia migodini kafukia binadamu ...kaua na sumu wanavijiji kutoka migodi yake ...au unataka tupost picha hapa tukuonyeshe shehena ya silaha walizo kuwa wanamiliki kiharamu zile silaha nyingi vile maana yake wana mtandao wa kigaidi ..yeye na mdogo wake walikamatwa na bunduki zaidi ya 200
hivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?
 
Ni kweli kabisa sufuria likisha pikiwa ugari huwa linaonekana chafu! Tuendelee kulisafisha ili kesho tule tena!
 
hivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?
Kuanzia early 2000 mpaka 2019 alikuwa anamiliki 35% ya hisa za Vodacom. Alipoziuza akalipa capital gain tax lwa Serikali.

Nyie watu mnakaririshwa utumbo tu. Mtu anamiliki Taifa Gesi, amefufua kiwanda cha Mproco, ana hisa ESTEEM Construction, unategema aweje?? Nchin hii tunahitaji billionaires kama RA wakaotengeneza ajira.

Sasa hayo makaa ya mawe ya Namtumbo mlitaka yakae mpaka lini? Kama ni bei nionyesheni mwenye offer kubwa kuliko Rostam ambaye alinyimwa!!

Haya hizo hisa za Mwadui, kwani alijiuzia mwenyewe? Kwani Serikali ilikatazwa kununua nyingi?

Huyu mtu ana IQ kubwa na ni mwekezaji wa ukweli. Wivu utawaua
 
Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.

Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.

Isn't it interesting kuwa watu wanaomuandama marehemu Rais Magufuli hapa JF sasa hivi sio hata CHADEMA but wa mama mitano tena ?

Bila kujua, wana-validate perspective ya Polepole ya mambo ya CCM A vs. CCM B na existence ya wanamtandao.

Wa-mama mitano tena ndio wenye nyuzi za kumponda Rais Magufuli haswa, kama ile ya Rais Magufuli aliua uchumi wa Tanzania lololololol vichekesho haswa.

Wanamtandao hutumia hasa hasa ubabe zaidi ya akili na ukatili wao ndio umewalinda miaka nenda rudi.

They are ruthless and bloodthirsty.
Dadangu Shikamoo
 
Huku kwetu Tanzania tumeamka salama; tunashindwa kujua kama nchi inakwenda mbele au inarudi nyuma. Kila kukicha afadhali ya jana..Tuzidishe maombi.

Amen!

Hata mimi tangu mwanzo wa wiki kuna kitu kimenisukuma kusali sana.

Sijui ni nini lakini nakisikiliza.

Tuendelee kuwa na imani. Tumelizwa vya kutosha na machozi ya watu huwa hayapotei bure.

Hata kama binadamu mwenzako anaweza kukunyima haki yako, Mungu hawezi kukufanyia hivyo.

Nakutakia wikiendi njema!
 
hivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?
Huo ni mtandao wa magenge ya madawa ya kulevya pia ...uwezi kufanya hiyo biashara kama siyo member wao pia agenda ya hayo magenge ya kihalifu yenye kufanya hizo biashara ni kupandikiza watu wao serikalini na kukamata dola ya nchi zisizo kuwa makini ....sasa hivi serikalini ya tanzania ipo chini ya hayo magenge ya kihalifu ndiyo maana mnaona wahalifu awaguswi isipokua wakosoaji wa uhalifu ...mtoto wa Kikwete ni member wa wauza unga ulimwenguni pia
 
Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.

Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.
Si bora basi ingekuwa 7k per post/comment wangepata maisha kwa kupost uharo mwingi humu. Malipo ni 7k per day! Yes, a whole day!

Yaani ukiwaona akina mwashambwa na akina tlaahtlah wanazurura ovyo masaa 24 kwenye kila uzi wakimwaga utaahira wao humo ujue wanapambania 7k. No wonder wanalazimika kufungua multiple IDs ili waongeze kipato waweze ku survive kesho yake.
 
Si bora basi ingekuwa 7k per post/comment wangepata maisha kwa kupost uharo mwingi humu. Malipo ni 7k per day! Yes, a whole day!

Yaani ukiwaona akina mwashambwa na akina tlaahtlah wanazurura ovyo masaa 24 kwenye kila uzi wakimwaga utaahira wao humo ujue wanapambania 7k. No wonder wanalazimika kufungua multiple IDs ili waongeze kipato waweze ku survive kesho yake.
Maskini! Inaonesha jinsi hii system na hawa watu wanamu-exploit kila mtu tu.

Kinachochosha ni wanatu-force kujibizana na watu ambao hata hawaamini wanachosema, ni kipato chao tu.
 
Back
Top Bottom