Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Kwahio kupata baba mzungu ndio ututambie?au hao wazungu hawashushag mizigo chooni?
Soma vizuri,nina elimu,nina wake 2, mmoja mta na mwingine sio mtz nina nyumba tanzania na nje ya tanzania,najitegemea,siombi hata shilingi kwa mtu yoyote yule,awe ni ccm au sio ccm,je hivyo ni vitu vidogo?
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Ameen dua yako ilubalike na Mungu aikubali.
 
Soma vizuri,nina elimu,nina wake 2, mmoja mta na mwingine sio mtz nina nyumba tanzania na nje ya tanzania,najitegemea,siombi hata shilingi kwa mtu yoyote yule,awe ni ccm au sio ccm,je hivyo ni vitu vidogo?
Ni vitu vikubwa sana,Mungu akubariki sana
Wenye ndugu wapo kimya.
ilikuwaje mkacheza wote ila wewe ukawa huna akili ?
Utaumia sana kwa kuambiwa ukweli.Roho mbaya haijengi,ukiona mwenzsko kaendelea,na wewe tafuta mbinu uendelee,acha kupoteza wakati kwa kumsema vibaya,
 
Hivi uhalisia haswa wa hii narrative ya buku 7 ni kitu gani? Maana naona imekuwa ikitajwatajwa sana jukwaani

Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.

Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.

Isn't it interesting kuwa watu wanaomuandama marehemu Rais Magufuli hapa JF sasa hivi sio hata CHADEMA but wa mama mitano tena ?

Bila kujua, wana-validate perspective ya Polepole ya mambo ya CCM A vs. CCM B na existence ya wanamtandao.

Wa-mama mitano tena ndio wenye nyuzi za kumponda Rais Magufuli haswa, kama ile ya Rais Magufuli aliua uchumi wa Tanzania lololololol vichekesho haswa.

Wanamtandao hutumia hasa hasa ubabe zaidi ya akili na ukatili wao ndio umewalinda miaka nenda rudi.

They are ruthless and bloodthirsty.
 
Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.

Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.

Isn't it interesting kuwa watu wanaomuandama marehemu Rais Magufuli hapa JF sasa hivi sio hata CHADEMA but wa mama mitano tena ?

Bila kujua wana-validate perspective ya Polepole ya mambo ya CCM A vs. CCM B na existence ya wanamtandao.

Wa-mama mitano ndio wenye nyuzi za kumponda Rais Magufuli haswa, kama ile ya Rais Magufuli aliua uchumi wa Tanzania lololololol vichekesho haswa.

They are ruthless and blood thirsty.
Acha kupoteza wakati,tafuta kazi,ufanye.
 
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.

Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.

Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Ukiwa maskini wa akili ni mbaya sana. Umaskini wa aina hiyo ndo chanzo cha kila ujinga uliopo duniani.
 
Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.

Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.

Isn't it interesting kuwa watu wanaomuandama marehemu Rais Magufuli hapa JF sasa hivi sio hata CHADEMA but wa mama mitano tena ?

Bila kujua wana-validate perspective ya Polepole ya mambo ya CCM A vs. CCM B na existence ya wanamtandao.

Wa-mama mitano ndio wenye nyuzi za kumponda Rais Magufuli haswa, kama ile ya Rais Magufuli aliua uchumi wa Tanzania lololololol vichekesho haswa.

Wanamtandao hutumia hasa hasa ubabe zaidi ya akili na ukatili wao ndio umewalinda miaka nenda rudi.

They are ruthless and bloodthirsty.
Inawezekana

Kwa namna ulivyoelezea inaleta maana fulani, kwamba kuna watu labda hulipwa ili kutengeneza narrative fulani ili kupigia chapuo ajenda fulani. Lakini hiyo kwamba wanalipwa 7000 kwa kila post, naona kama sio kweli kwa sasa, japo kwa zamani may be ilikuwa hivo.

Maana saa nyingine ID maarafu ndo huwa zinafanya hiyo kazi unajiuliza ikiwa ni kweli wanapokea ujira wa 7000 ili kutetea ajenda
 
Back
Top Bottom