Rostam mdeni mkubwa wa serikali

Pesa hiizi mkuu wa mafisadi RA alizikopa kutoka kwenye huo mfuko wa CIS na kisha kuwakopesha au kuwawezesha kukopa genge la hawa mafya wa kisiasa waliojulikana kama wanamtandao. Wengi wao na kama sii wote ni wanamtandao waliofanikisha kumwingiza Jk ikulu. Sasa hivi hawa jamaa wanatafuta ubunge kwa nguvu ya kufa na kupona maana wameufanya kuwa kichaka kinachowakinga na mkono wa sheria.
DOR SLAA P/SE COME IN SO DAT U MAKE A THOROUGHLY CLEAN UP. THE WHOLE HOUSE IS ROOTED.
 
Anatakiwa kupigwa risasi kwenye viwanja vya jangwani tunawattoto millioni 4.1 ambao hawajui watakula nini na wataishi wapi hii ni takwimu za serikali

Hapana -- pale beach (banda Beach) -- kama vile yule Rawlings alivyowatia risasi marais mafisadi wa Ghana mwaka 1979.
 
kama huyo R.A ni fisadi basi wacheni serikali ichukue uamuzi sio sisi tukae hapa tunahukumu watu wakati hakuna ushahidi wowote.nafikiri alituambia kwenye viombo vya habari kama kuna mtu anaushaidi aupeleke mahakamani.na hakuna hata mmoja wetu hajaenda mahakamani,kwaiyo tusikae hapa tuna bweka bweka bila sababu.haisaidii lolote

mbona dk slaa alivokuwa padri alikuwa anabeba wanawake na kulala nao mpaka kuwajaza mimba hatusemi kitu wakati huyo kamuongopea mungu,je sisi wanadamu tukimpa nchi kweli tutapona jamani?ikiwa mungu hakumuogopa sisi ndio tutasalimishwa?kumbukeni jamani tuna wake!na huyu jamaa hatufai,
 
Kuna watu wapuuzi kupita maelezo. You do not know how the government relates to its citizens and have no idea if the government exist because of the citizens. You might be insane. Have you ever heared a government existing without citizens? those are money of the people and have rights to monitor and question how they are spend. Hide your foolishness
 
The talons are approaching his neck at a very high speed, he should start making a very good body armor.

And then CCM claims that free education is not possible!!
 
TOFAUTI na alivyojigamba kwamba ni mlipaji mzuri wa madeni anayodaiwa na serikali, Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi anadaiwa Sh. 2,576,583,013 tokea mwaka 1993, MwanaHALISI limegundua.
Alikopeshwa Sh. 2 bilioni (2,025,739,660) mwaka 1993 na 1997 na Mfuko wa Kuwezesha Uagizaji Bidhaa (CIS) uliokuwa ukifadhiliwa na serikali ya Japan na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Uchumi.
Alitumia makampuni ya Africa Tanneries Ltd, Tanzania Leather Industries Ltd na Africa Trade Development.
Fedha nyingine alizokopeshwa ni Sh. 1,516,024,125. Hizi alikopeshwa na serikali ili kuagiza mchele kupitia mpango wa Counterpart Fund. Alitumia Kampuni ya African Trade Development.
Imethibitika kwamba Rostam ameshindwa au hataki kulipa deni hilo lililodumu kwa miaka 16 sasa.
Akizungumza na vyombo vya habari 3 Mei 2009, siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam, Rostam alitamba kuwa ni mlipaji mzuri wa madeni yake kwa serikali.

Utawala mpya wa Dr. Slaa kushughulika naye "perpendicular"
 
ndio maana serekali inaibua miradi kama richmond, bomba la mafuta nk ili apate pesa za kuweza kutulipa
 
si ni juzi juzi tu JK anampamba jimboni kwake Igunga eti "Hakuna kama RA" kijana safi na mchapa kazi. Harafu mbaya zaidi wananchi wa Igunga maskini hawajui huyu jamaa ni mtu wa aina gani kule hawaambiwi kitu ni RA na wao tu. Tanzania tuna safari ndefu sana.

Kweli kijana kaja kuchuma nchini kwetu na bahati nzuri kakuta watanzania maziwa lala. Lini ngozi nyeupe iwe na uchungu na nchi yako? Tanzania. Katika kutekeleza azma ya ufisadi kapenya ndani ya CCM na kuweka mizizi yake, sasa hivi nani wa kusema kitu juu ya RA. Muulizeni kaka yangu Sitta zahma iliyomkuta na sakata na Richmond, Nusura tumsahau. CCM ya leo ina wenyewe.
 
Mjomba,
MaDokta wapo wengi siku hizi...kuna udocta huu wa kupewa wa Saint Claus!
Unatakiwa u'specify docta yupi!...huh!

Anaongelea Dr Slaa. Pengine wewe unaweza kuthibitisha kuwa 'doctorate' yake ni ya Saint Claus na hivyo haitambuliki! Can you do it? Maana kuonega tu bila data hatutaki.
 
Yote yana mwisho na mwisho wake ni oct 31, 2010. Hizi pesa zote zingeingia kwenye elimu utashindwa kutoa ELIMU BURE. Mungu tusaidie Dr. Slaa ashinde ili moto wa duniani hapa wauone hawa mafisadi
 
mimi nashindwa kuelewa kila watu wakituma hoja zao kuna mmoja anazifuta.nyinyi wana chadema mnamatatizo sana ila nasisi wana ccm tuna mpango wakuanzisha website yetu pia..maana kila mwana ccm akichangia hoja kwenye jamii forum mnazifuta na kazi kubwa mliekuwa nayo ni ku brain wash watu.hata mzikiri uchi ccm itapasua kama radi...anzeni kufikiria kuhusu vyama vya upinzani baada ya miaka 50 labda kutoka leo na huyo DR SLAA ni hodari wa domo bungeni sio kushika nchi hii.ivi nyinyi mnafikiria nchi hii kama tom n jerry wanavokimbizana eti...aisee kwakweli nyie
 
Hoja hazifutwi, zinazofutwa ni pumba!
 
Hizo hela zingejenga barabara ngapi/ au hospitali ngapi za wilaya au mikoa zingeboreshwa au shule ngapi zingepata madawati achilia mbali vitabu na nyumba za walimu
 
Uongozi wa Jk unanuka rushwa tupu na sijui wa Tz tunangoja nini?
 
Yote yana mwisho na mwisho wake ni oct 31, 2010. Hizi pesa zote zingeingia kwenye elimu utashindwa kutoa ELIMU BURE. Mungu tusaidie Dr. Slaa ashinde ili moto wa duniani hapa wauone hawa mafisadi
Mkuu kilichobakia ni kuingia barabarani tu!
 
Sina hakika na uwezo wa ubongo wako
kama huyo R.A ni fisadi basi wacheni serikali ichukue uamuzi sio sisi tukae hapa tunahukumu watu wakati hakuna ushahidi wowote.nafikiri alituambia kwenye viombo vya habari kama kuna mtu anaushaidi aupeleke mahakamani.na hakuna hata mmoja wetu hajaenda mahakamani,kwaiyo tusikae hapa tuna bweka bweka bila sababu.haisaidii lolote

mbona dk slaa alivokuwa padri alikuwa anabeba wanawake na kulala nao mpaka kuwajaza mimba hatusemi kitu wakati huyo kamuongopea mungu,je sisi wanadamu tukimpa nchi kweli tutapona jamani?ikiwa mungu hakumuogopa sisi ndio tutasalimishwa?kumbukeni jamani tuna wake!na huyu jamaa hatufai,

s
 
Back
Top Bottom