Rostam mdeni mkubwa wa serikali

Rostam mdeni mkubwa wa serikali

Wadaiwa wote hao ni wanachama wa ccm na wengi wao ni viongozi wa serikali ya ccm.
Ama kweli rushwa na ufisadi ni sera ya kudumu ya ccm.
Ole wao mafisadi mwaka huu mtakiona cha moto, ngoja Dr. Slaa aingie ikulu, mtajuuuuta kumfahamu.
Na mikopo yote ni mwaka 2000, siwezi shangaa kusikia hizo hela zilienda kwenye Uchaguzi, Wenzao EPA, Wao CIS.
 
kwa faida ya watanzania wengi tungependa kufahamu ni madeni ya kiasi gani huyo fisadi anachodaiwa ama kuidai serikali ya JK.
 
Serikali inataka ushahidi gani kuthibitishiwa haya ili kuwapeleka mahakamni? kwanini mwizi wa kuku na simu anafungwa miezi mitatu na kuchomwa motto wakati wanaoifanya TZ kuwa maskini wana dunda mtaani na wengine wakitoa kauli za kutudhihaki na kututusi bila woga, haya na soni
 
Back
Top Bottom