Its just the matter of time things will change believe it!!
Issue sio kwamba RA hajaleta maendeleo Igunga, hili halina ubishi.
Kinachofanya RA awe adui wa WaTZ including wana Igunga ni kushiriki kwake kwenye Ufisadi mwingi kiTaifa.
Nilisikia habari za member mmoja wa Mafia muuza madawa ya kulevya kule Mexico, alikuwa ametumia pesa alizopata toka katika biashara hii haramu kuleta maendeleo mengi kwa jamii ya walalahoi katika jimbo fulani. Polisi walipokuwa wanamkamata ilizuka vita ya kufa mtu kati yake na raia, wakimtetea 'mungu' wao anayewapatia riziki yao ya kila siku. Issue kwao haikuwa wapi alipata hizo pesa na ni madhara gani alisababisha kwa biashara yake hiyo haramu, bali waliangalia kile walichopata moja kwa moja.
Mafisadi wote wanafanana, wanatafuta kuwa-influence watu/ jamii kwa vimisaada vyao bali wakiacha madhara makubwa kwa jamii kubwa.

Usiwasemee wana Igunga wacha waseme wenyewe!Kama wamefikia hatua ya Kuwa na Bima Kwa Kila Kaya Sasa nini Chaziada!Huyu alikuwa Mbunge wa Vitendo ila Madomo kaya ndio wanaomwandama mtu wa watu!Bora ameamua kuachana na Siasa!
Huwezi mwita Adui mtu anayeleta maendeleo kwa waliomchagua na Pia Anaechangia Pato la Taifa kupitia Uwekezaji wake!
Rostam atabaki mtu Muhimu kwa Taifa
Habari Leo Kikwete aahidi lami Igunga Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Igunga; Tarehe: 1st October 2010 @ 23:45 Imesomwa na watu: 477; Jumla ya maoni: 0 | ||||
Amesema mji huo umebadilika mno na kwamba haustahili kuendelea kuwa kama kijiji na badala yake ufanane na miji mingine. Rais Kikwete alitoa ahadi hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini hapa. Igunga ya leo sio mchezo, kilikuwa kijiji, sasa ni mji. Lakini inabidi ufanane na miji mingine, na kwa hiyo nawaahidi nitajenga barabara za lami zenye urefu wa kilometa tatu, alisema Rais Kikwete. MTAISHIA KUKODISHA WATU WA KULIA MKIFIKIRI WATU WANGALI ENZI ZILE |
Usiwasemee wana Igunga wacha waseme wenyewe!Kama wamefikia hatua ya Kuwa na Bima Kwa Kila Kaya Sasa nini Chaziada!Huyu alikuwa Mbunge wa Vitendo ila Madomo kaya ndio wanaomwandama mtu wa watu!Bora ameamua kuachana na Siasa!
Huwezi mwita Adui mtu anayeleta maendeleo kwa waliomchagua na Pia Anaechangia Pato la Taifa kupitia Uwekezaji wake!
Rostam atabaki mtu Muhimu kwa Taifa
Jana katika kusikiliza hotuba ya kujiuzulu Rostam Aziz, baadhi ya niliomsikia akisema ni kuwa Igunga katika wakati wake wa ubunge kaweza kuweka bima ya afya kwa kila kaya, jee, ni kweli? kama ni kweli, huu si mfano wa kuigwa? kwani mpaka sasa siijui wilaya nyingine yoyote Tanzania iliyopiga hatua kama hii.
Unafananisha vitu tofauti na unaposema Rostam fisadi hutoi ushahidi wowote na hapo hapo unakiri kapeleka maendeleo Igunga. hata sikuelewi.