Mwakilishi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 483
- 36
Mpaka Kieleweke,
Umeibua hoja ya msingi kabisa, ikiwa mahudhurio yake bungeni ni kama ulivyobainisha basi si ajabu hajachangia wala kuuliza lolote bungeni kama data alizoleta FD zinavyoashiria.
Hapo awali nilinukuu kipengele kimoja ambapo alikuwa anazungumza kumbe ilikuwa ni semina siyo session ya kawaida ya bajeti bungeni, hivyo ukweli unabaki palepale hajachangia bungeni toka aingie.
Nadhani wapo wabunge wengine ambao wana hatia hiyohiyo, ingelikuwa vema wakaanikwa nao vilevile aidha wananchi waamshwe waanze kuwabana wabunge wao kisawasawa.