Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

Chinua Achebe: "Things Fall Apart"

...THE CENTRE CAN NOT HOLD
9780385474542-rh.jpg
 
Kuna baadhi ya watu walio karibu na EL ambao wameniambia mara kadhaa kuwa EL mwenyewe amekuwa akisema mambo yote ya Richmond yalifanyika kwa maelekezo ya Muungwana. Yeye akiwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri hakuna jambo lolote lililofanywa nyuma ya mgogo wake. Anasema alikubali kujiuzulu ili kumnusuru Muungwana. Sasa akitoswa si anaweza kufungua mafaili yote????
Hii sijawahi kuisikia, tumegee zaidi mkuu ili tuandae mashambulizi kabisa huyu jamaa akiibuka tena.
 
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.

JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.

Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.


Miye nilisema waache waparurane labda hili litasababisha Chama Cha Mafisadi kusambaratika na hatimaye kuondoa kikwazo kikubwa cha maendeleo nchini mwetu ambacho ni CCM. Nakumbuka Rostam alivyoanika details za Mtikila kwenda kuomba michuzi toka kwa Rostam. Sasa si ajabu Rostam ana details zote za yote yaliyojiri katika kutafuta mgombea wa CCM 2005 pamoja na majina ya mafisadi wote waliokusanya mabilioni ya kuhonga wapiga kura na pia kumchafua SAS na kiasi kilichotolewa na kila mmoja. Rostam akiamua kuziweka details hizo hadharani basi Urais wa Kikwete utakuwa umefikia kikomo. Tina ahsante sana kwa ujumbe huu.
 
Hivi lowasa na rostamu si wanaweza kuunda uswahiba na mwakyembe ili aeleze kila kitu ambacho kamati yake ilificha ili kunusuru taifa?..........naamini hilo likitokea basi aliyekuwa bado kutajwa ni kikwete tu kwa hiyo naye itabidi atimuliwe
 
JK amewawahi hawa jamaa. Mpango ulikuwa ni kumwondoa kwenye Uenyekiti wa CCM kwanza. EL na RA waanzishe tu chama kingine. Wana nguvu kuliko hata kikombe cha "Babu".
 
Hakika nawaambia kwa hali iliyopo CCM sasa kila gamba litavuliwa regardless the position of a person
 
Chinua Achebe: "Things Fall Apart"

Asante Mkuu! Umenikumbusha mbali sana:

When The river Between flows, Things fall Apart, people are No Longer at Ease and only A man of the People (Dr Slaa?) can right it!! :A S thumbs_up:
 
wonders will never end! hivi unaweza kumwita mtu Mwizi alafu wewe mwenyewe ni Jambazi, hivi Mzee wa Kaya anawezaje kutumia indirect means kuwa attack marafiki (COMRADES IN CORRUPTION), SI WATAMLIPIUA!!!! My prayers Wamlipue Maana analeta SIASA za Uswahilini a.k.a Mpasho. :behindsofa: ADUI YAKO MWOMBEE NJAA!!!! CHADEMA changamkieni hiyo its a POLITICAL CAPITAL.
 
hahahahaha hii itakuwa 'Death of Salesman' maana haiwezi hata kuwa A Man of the People au Petals of Blood. Kinachotakiwa kuwalipua hawa wote ni Peter Abraham's work Xuma
 
Naamini walichoongea ni sahihi kabisa, ila walichelewa kukisema, kwa nini hawakusema tangu awali hadi wasubiri saa hizi?? Ni kweli JK alitajwa na kama hayo magazeti yameandika hivyo basi kuna kila dalili kuwa CDM imekua reliable source of information hata kwa CCM wenyewe maana hata hizo tuhuma ziliibuliwa na Dr. Slaa (CDM)/
 
kujivua magamba maana yake ni kwamba tuhuma zote ni kweli, na kui-attack JF ni kwamba wao waeiona JF ni threat kwao... kuna window imefunguliwa kule tweeter ya sisiem mui-check.

I have dream!
 
Nachukua pop corn, nasogea kwa TV kujionea viroja.
Yaani JK anadhani kujivua gamba ni kuwatosa maswahiba wake.....na..na..na!!! He is in for it, they will take him down as well.
 
Nini falsafa ya maisha, kuishi miaka mingi na kufa kama mzoga ama michache na kubakia na msimamo unaoishi? Kipi alichokosea Bashe ndugu kuweka mambo wazi ambayo akina Nape walitaka yasitambulike? Halafu unasema the guy is young unajua ataishi miaka mingapi kwani wewe Mungu?

God is Great! God is omnipresent, God is everywhere! May God bless our country, Tanzania!
 
Back
Top Bottom