Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

mkuu penye nyekundu hapo utafungwa mkuu! sema Tanzania! tanganyika haipo kwanza ni ubaguzi kwa sisi wazanzibar!

Mkuu Henge mimi naitambua Tanganyika lakini nadhani upo umuhimu wa kutanua list ya mafisadi katika CCM, naanza na RZ1
 
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.

JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.

Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.

Wewe umesema wamerudia list of shame iliyosomwa mwembe yanga miaka michache iliyopita, sasa unavyosema wanatangaza vita una maana gani. Au usipowataja kina RA unawashwa.
 
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.

JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.

Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.

.....and that is just the begining of downfall
 
huko kujivua gamba ccm inatengeneza bomu jingine sie twasubiri liwalipukie kina sitta, mwakyembe na selilii walishaona mbali wakachagua kukemea ufisadi sie yetu macho na masikio
 
mkuu penye nyekundu hapo utafungwa mkuu! sema Tanzania! tanganyika haipo kwanza ni ubaguzi kwa sisi wazanzibar!

Kama Tanganyika haipo pia Zanzibar haipo. Kama wewe ni mkereketwa wa chama tawala basi sema Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
 
Na kale kamuswada kao wanasema Tanzania Mainland, hiyo nchi haipo hivyo CDM maandamano ya tarehe 16 wabunge wenu wakielezee kipengele hiki vema kwa wananchi. Pipooooz
 
CCM is going down for real...

Hivi unaweza kuamini kama magazeti ya habari leo wakati wa ile kashfa ya Richmond ndo yalikuwa mstari wa mbele kumtetea JK? Leo hii huoni tofauti kati ya Mtanzania na Tanzania Daima..

Kama alivosema EngMtorela tusubiri tuone kitu gani kinakuja *grabs popcorn*
 
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.

JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.

Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.

Kumbe gamba halijatoka?
 
Tina, kwa kweli mimi nilishasahau kama kuna gazeti linaloitwa Mtanzania. Unaweza kubandika hiyo article hapa ili tuitazame kwa macho mchanganyiko
 
Lakini jamani kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Wanasema wasipojiuzulu watawawajibisha ngoja tuone kama wanalosema na watakalotenda yatalandana.
 
Mimi changu kicheko tu jinsi hawa nguchiro wanavyoparurana.Ila ukweli ni kuwa JK hana ubavu wa kuwadhibiti RA na EL, hawa ndiyo wanaendesha nchi, hata kilichotokea Dodoma ni usanii tu wamekubaliana iwe hivyo ili kujaribu kupunguza kasi ya nguvu ya umma kwani wanajua kuwa siku nguvu ya umma ikikamilisha kazi yake (kuchukua dola) wao wote watawekwa kwenye kapu moja hapo segerea.
 
Kuna msemo "when one door is closed, many more are open". Sasa isije ikawa ndiyo game hiyo ya JK na kundi lake kujidai wamefunga huu mlango kumbe kwa nyuma wamewafungulia jamaa milango kibao. Never trust CCM mafia!!
 
Siyo mmiliki wa Gazeti la Mtanzania tu hata gazeti la mwananchi ndiye mwenye hisa nyingi kwa sasa. atanunua magazeti yote bongo.
 
Kwa mliobahatika kusoma Mwanahalisi makala ya katikati mbona haina tofauti na habari hii ya Mtanzania ama ni kosa Mtanzania wakiandika ila wakiandika wengine sawa?
 
Wana JF nape na chiligati kama wamei2mia kama reference dhidi ya mafisadi ni kusema ile list of shame ni ukweli?

Si kweli, walisema ufisadi wa Richmond, Kagoda, Dowans na Rada umetuponza 2015 na kwamba lazima wajiuzulu waliohusika ambao ni EL, Rostam na Chenge na CC na NEC wote walimwaga sumu.

Hakuna anayemtetea JK, ni busara ndogo tu kwamba Mtanzania na Rai ndio walokua mstari wa mbele kuponda list of shame na hadi baada ya wao kutoswa ndio sasa wanapindua maneno kumsingizia Nape na Chiligati kuwa wamenukuu list of shame. Hii ni aibu kubwa sana.
 
Uko kimkakati ama kiharakati zaidi zaidi. Yaani kama wanasema wanavua gamba kwa hoja za kusikika kwani hiyo list haikusikika? Hili lichama lina matatizo kwa hiyo liache lifage tu
 
Back
Top Bottom