CHADEMA walikuwa wanapigana vita. Vita ya kutakatisha MAFISADI ya CCM, na sasa Kuhakikisha wanatetea WIZI wa RASILIMALI za nchi na wauza madawa ya kulevya.
Vita vilivyoongozwa na FISADI number moja kwenye list of shame iliyoandaliwa na Tundu Lissu.
Vita ya kuhakikisha kwamba Lile FISADI number one kwenye List yake ndo linaluwa RAIS.
Hiyo vita ya makamanda LOWASA, SUMAYE na KINGUNGE. Teheteh!
Kwa kweli ni heshima kwa kiongozi principled kama Dr Slaa kuikimbia.