JAMBAZI ROSTAM AZIZIRichmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao🥺🥺🥺🥺Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Ndugai yupo wapi?Ulisema Mwezi wa 7 kutatokea Msiba Mzito,
Vipi tuendelee kusubiri????
Weeee ni mtu wa maana saaana big up.
Hili tukio lilipangwa kitaalamu sn siku wakiamua kufanya uchunguzi huru naamini Magufuli hayumo !Usisahu na kutuambiwa aliyempiga risasi Lissu. Maana yeye alijua ni magufuli.
Ndo Lissu amejua hivi karibuni naamini akitoka Jela ataogopa Sana kwakuwa Lissu hatumii instinctHili tukio lilipangwa kitaalamu sn siku wakiamua kufanya uchunguzi huru naamini Magufuli hayumo !
Mwaga vitu mwaga vituuu!Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Swala no kwenda kupiga kura tunakaa ndani wanaenda wao Kisha nchi marafiki wanaotoa misaada wataingikia kati maana watanzania na polisi maskini hawawezi kufanya kituSwali ni nani atamfunga paka kengele?
🤔
Kama hyo kutoka njia panda himo kwenda Rombo ndo ishaweka na mifereji kabisa katikatBarabara imeanza kuchoka Tanroads hoi
yumo. kwanini tuhuuma zilipoelekezwa kwake hakuonesha jitihada zozote za kuwabaini wahusika ili wachukuliwe hatua. Magu aliwatuma wauaji. akafa yeyeHili tukio lilipangwa kitaalamu sn siku wakiamua kufanya uchunguzi huru naamini Magufuli hayumo !