johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Cc Nape NnauyeMfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.
Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.
Chanzo: ITV habari!
Jamaa anajitahidi sana
Alichochota wapi bwashee?Anarudisha kile kidogo alichochota.
Wataalamu wa mambo wanasema STAMINA na ROMA(ROSTAM) atakuja kupiga TUKIO la hatari zaidi ya EPA kwasasa ETI anawapanga kuwaingiza 18 tu.Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.
Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.
Chanzo: ITV habari!
Hela ya sherehe za Muungano sh 500 milioni mlipewa pia kuidhibiti Covid 19!Watwambia SMZ hizi pesa wanazifanyia nini! Madawa hawapulizi mitaani, hawana jitihada yoyote wanayoifanya kupunguza maambukizi. wao wanatoa matamko tu!
Sasa watwambie matumizi ya pesa wanazopewa kama michango ili wananchi tujue.
Wachangiaji wanaotaka kuchangia ni vyema mchango mkaufiikisha kwa wananchi moja kwa moja kuliko kuwapa walafi!
Hizi zinakuja kurudishwa hiziMfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.
Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.
Chanzo: ITV habari!
Kwani ni mkopo?!
Ndio tabu ya wabongo hii,rostamu angeweza kukaa kimya tu,lakini kujitolea bilioni karibu mbili SI mchezoWataalamu wa mambo wanasema STAMINA na ROMA(ROSTAM) atakuja kupiga TUKIO la hatari zaidi ya EPA kwasasa ETI anawapanga kuwaingiza 18 tu.