Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,562
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.

Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.

Chanzo: ITV habari!
 
Ushauri wa kuvaa kitenge kilichotolewa na mkuu wa mkoa Dar es salaam?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.

Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.

Chanzo: ITV habari!
Cc Nape Nnauye
 
Wataalamu wa mambo wanasema STAMINA na ROMA(ROSTAM) atakuja kupiga TUKIO la hatari zaidi ya EPA kwasasa ETI anawapanga kuwaingiza 18 tu.
 
Watwambia SMZ hizi pesa wanazifanyia nini! Madawa hawapulizi mitaani, hawana jitihada yoyote wanayoifanya kupunguza maambukizi. wao wanatoa matamko tu!

Sasa watwambie matumizi ya pesa wanazopewa kama michango ili wananchi tujue.

Wachangiaji wanaotaka kuchangia ni vyema mchango mkaufiikisha kwa wananchi moja kwa moja kuliko kuwapa walafi!
 
Hela ya sherehe za Muungano sh 500 milioni mlipewa pia kuidhibiti Covid 19!
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.

Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.

Chanzo: ITV habari!
Hizi zinakuja kurudishwa hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wa mambo wanasema STAMINA na ROMA(ROSTAM) atakuja kupiga TUKIO la hatari zaidi ya EPA kwasasa ETI anawapanga kuwaingiza 18 tu.
Ndio tabu ya wabongo hii,rostamu angeweza kukaa kimya tu,lakini kujitolea bilioni karibu mbili SI mchezo
 
Rostam kweli unajitolea sana jamani, rafiki wa kweli utamjua wakati wa shida, asante mwana CCM mwenzangu, hii ni vita yetu sote, na sisi wananchi tufuate kwa juhudi kubwa ushauri wa wataalamu wa afya
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom