johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,607
- 141,431
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash Patel, makamu wa pili wa Rais balozi Seif amemshukuru Rostam na wenzake kwa msaada huo.
Pia balozi Seif amewataka watanzania kuacha ukaidi na badala yake wazingatie na kutekeleza maagizo yote wanayopewa na wataalamu wa afya na serikali kwa ujumla.
Chanzo: ITV habari!