LAT Mchungaji nina offer ya kwenda kufungua makanisa huko! Ila shida yangu siko mweusi kama wa Sudan
Kwa Lowassa itachukua muda kwani taarifa za ndani zinasema alimgomea Msekwa na kueleza kuwa yeye hayuko tayari kujiuzulu kwa tuhuma hizo. na kikao baina yake na Msekwa kilimalizika bila adhimio. Kwa Rostam walikubaliana na alikubali kufanya hivyo na leo ametimiza. Chenge yeye sijajua itakuwaje, lakini nadhani anaangalia upepo na kushinikizwa na Lowassa kama Lowassa atagoma basi hata yeye atagoma. haya yetu macho ngoja tuone magamba yanavyotoka, na yakitoka yote tutaka na yale ya Kichwa kutoka (Kikwete).Zamu ya Lowasa na Chenge sasa....
Sasa ndio kafanya nini.,si angerudisha na kadi ya chama.
hivi jamani mmesoma habari yenyewe???
mbona kasema amejiuzulu hata ubunge???
kumbe ndo maana watu wanasaini mikataba bila hata kuisoma.