Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Habar ilizopo ni kuwa makampuni makubwa ambayo ana hisa sehemu mbalimbali wamemtishia kuuza hisa zake kwa kuwa biashara zao katika soko la hisa zimeshuka. Na kasema mwenyewe sio kujivua gamba bali ni kuwa kuna siasa chafu na minyukano ndani ya chama
 
CCM - c wako nyuma sana, hii new sisi wana JF tumeipata masaa matatu yameshapita duh.
Naona kichefuchefu mtu anapoitaja Clouds FM eti ndio imefanya breaking news, wakati humu JF kuna thread ina page 15 kuhusu hilo!
 
Kuna wapuuzi wanashangilia huyu jamaa kujiuzulu..mmesoma na kuelewa? hajajiuzulu kwa sababu yeye ni gamba...amesema amejiuzulu ili kuachana na siasa uchwara,na si kweli kwamba yanayosemwa juu yake yana ukweli...na nilipost awali huyu anaweza kujiuzulu kwa agreement na JK lakini sio Chenge na Lowassa na nyie mnaoshangilia kujiuzulu kwake hamjui nini kinafuatia mbele poleni...

Penye nyekundu naona mkuu umeamua kutumia abusive language,wewe ndiyo unajiona ni bora sana na huna haki ya kuwatukana na kuwazalilisha wengine!lakini kumbuka kinyume chake wakati mwingine huwa sahii!!
 
22222222222222222222222222222222



















Ingekuwa tetesi hisingekuwa na taarifa yake ya habari kwa wazee wa TBR! labda mseme uongo siyo tetesi




Watanzania wagumu sana kuelewa,sijui unafikiri kwa kutumia nini,hii hotuba imekuja baada ya tetesi,mwanzo aikuwepo.umejibiwa hapo juu bado unaendelea kuandika upupu.
 
habari nilizo zipata ni kwamba Rostam azizi ajivua gamba rasmi kajivua ubunge na kajitoa nec, source, Radio one breaking news
 
nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama, nikianzia na ile ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa nikiuwakilisha Mkoa wa Tabora na hii ya ubunge wa Igunga[/B] ambazo kama si kwa baraka za chama changu nisingelikuwa nazo.1605]Hizo nyadhifa ni za ccm pekee au na Ubunge anautema?

Na Ubunge pia!!.......
 
Anasema sababu ya kujiuzulu ni kulinda heshima ya chama. Na ccm kumejaa majungu. Nasikia watu wanalia igunga, na wazee wa chama igunga hawakubaliani nae.
 
Wakuu hebu someni mafanikio ya RA igunga

"
Miongoni mwa mafanikio makubwa tuliyoyafikia kupitia ushirikiano wetu na uongozi wa pamoja ni kwamba, mwaka 1994 Igunga ilikuwa ni wilaya ya mwisho kwa maendeleo mkoani Tabora lakini leo ndiyo ya kwanza, taa za barabarani, bima ya afya kwa kila kaya, zahanati kila kijiji na shule nyingi kuliko idadi ya kata zilizomo kwenye wilaya."


Hongera Rostam Aziz, una tuhuma nzito nyingi tu, lakini kwa hili nakupongeza ndugu yangu.



At what Price myfriend..., at what Price???!!!!!!!

Huku ndio kununua Baiskeli kwa bei ya Ferrari
 
Wanajamvi:

Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.

UPDATE:

Alichoongea ni hiki chini:

HOTUBA YA MHE. ROSTAM AZIZ KWA WAZEE WA IGUNGA - TABORA


UTANGULIZI

WAZEE wangu,
Asante Rostam kwa unyenyekevu wako.............
 
Ni sehemu ya mafanikio ya vita ya kifikra iliyoanza tangu mwaka 2006 na jamvi hili limeshiriki sana kufikia hapa tulipo leo , ila tunahitaji kusogea hatua moja mbele zaidi kwani kajiwajibisha kwenye chama , alichochukua tunakipataje kwa ajili ya madawati na vitabu vya watoto wetu?

Kuna haja ya kuendeleza mapambano kwani vita ndio kwanza imeanza na Jenerali wa kwanza amejeruhiwa tuu sasa lazima tuvisambaratishe vikosi vya anga ambavyo vitatumwa soon kupambana nasi.
 
Yani miaka 16 kashikilia jimbo yeye tu?!Inabidi kuwe na sheria ya kuwalimit watu na madaraka.Maana kwa style hii hamna kitu kitakaa kibadilike...gamba linakua mpaka linakomaa ndo wanajifanya kulivua.
 
Yaani wewe ndio unaijua habari hii saa hizi? Tena kutoka Clouds! Humu ilishawekwa 3 hrs ago na threads hadi sasa hivi ina page 15. Acheni kufungulia clouds!
 
There are currently 1268 users browsing this thread. (258 members and 1010 guests)

Hii ni dhahiri likuwa ikisubiriwa kama KONA.
 
Wakuu hebu someni mafanikio ya RA igunga

"
Miongoni mwa mafanikio makubwa tuliyoyafikia kupitia ushirikiano wetu na uongozi wa pamoja ni kwamba, mwaka 1994 Igunga ilikuwa ni wilaya ya mwisho kwa maendeleo mkoani Tabora lakini leo ndiyo ya kwanza, taa za barabarani, bima ya afya kwa kila kaya, zahanati kila kijiji na shule nyingi kuliko idadi ya kata zilizomo kwenye wilaya."


Hongera Rostam Aziz, una tuhuma nzito nyingi tu, lakini kwa hili nakupongeza ndugu yangu.


Kwa hiyo mbunge akiibia serikali na kwenda kuwekeza na kuleta maendeleo jimboni kwake ni kitendo cha ushujaa?
 
Yani miaka 16 kashikilia jimbo yeye tu?!Inabidi kuwe na sheria ya kuwalimit watu na madaraka.Maana kwa style hii hamna kitu kitakaa kibadilike...gamba linakua mpaka linakomaa ndo wanajifanya kulivua.

Mambo Lizzy!! Jamaa wakipata hawataki kuachia. Kama LUBA!
 
uyu bwana kajiuzulu kwa lipi haswa?mbona imekaa kimashaka-mashaka???
nahisi harufu mbaya sana hapa ebu tungoje tuone
 
Back
Top Bottom