Hii nchi ya ajabu sana.........kwamba rostam ni mchafu mbele ya ccm lkn ni msafi sana ndani ya bunge na machoni pa watz.........inatakiwa akijivua gamba akamatwe fasta afunguliwe mashtaka na kesi yake iendeshwe haraka sana na kisha afungwe alafu mali zake zote zitaifishwe...."najua ni ndoto za mchana kwani tangu lini kikwete akakubali mapendekezo km haya"
Khaaaa!!! Debe tupu haliachi.......utamalizia mwenyewe mnashindwa nini kuwafukuza mnasubiri hadi wachukue maamuzi wao wenyewe halafu eti CCM oyee sijui kwa AC na EL mtasema nini naona mnasubiri na hawa wajiuzulu wenyeweMlisema hayawi sasa yamekuwa, haya wapiga vinanda wa CDM, semeni jingine. CCM oyee.
Vichwa vya JF hivi, hawa wote wamechangia hii habari pasipo kuisoma vizuri ingawa habari inaelezea vyema juu ya yeye kuachia Ubunge hawa bado wanauliza juu ya swali hilo hilo?!
A dark day in the history of tanzania,a behind the scenes de facto president of the countryhas called it quits,the question is will he continue pulling strings from behind the curtain,and will these new CCM enforcers,the nape"s survive his claws-only time will tell
Vichwa vya JF hivi, hawa wote wamechangia hii habari pasipo kuisoma vizuri ingawa habari inaelezea vyema juu ya yeye kuachia Ubunge hawa bado wanauliza juu ya swali hilo hilo?!
Nakuunga mkono Mkuu huyu anastahili kabisa kukamatwa na pia kujiuzulu Ubunge haraka sana. Wale akina Mkapa, Chenge, Yona nao wanatakiwa wafunguliwe mashtaka haraka sana kwa madudu waliyofanya katika mikataba mbali mbali na pia Mkulo, Ngeleja, na Waziri mdogo wa Nishati inabidi waachie ngazi haraka sana kwa utendaji wao mbovu hapo Watanzania ndio tutaanza kuamini kwamba kweli CCM wameamua kulivua gamba, vinginevyo ni kuendeleza usanii tu
Keep us updated, all eyes naelekeza TBR. Je anafanyia wapi hiyo press conference (namaanisha ukumbi gani hapo TBR? )
Hizo nyadhifa ni za ccm pekee au na Ubunge anautema?
Toa chanzo cha habari na mkutano utafanyikia wapi ili tuwe na uhakika isije ikawa ni kutaka kutupotezea muda. Na ikiwa kweli basi nategemea aachie pia ubunge
Hiyo bado haitamtakasa. Haachie na ubunge.
Hii nchi ya ajabu sana.........kwamba rostam ni mchafu mbele ya ccm lkn ni msafi sana ndani ya bunge na machoni pa watz.........inatakiwa akijivua gamba akamatwe fasta afunguliwe mashtaka na kesi yake iendeshwe haraka sana na kisha afungwe alafu mali zake zote zitaifishwe...."najua ni ndoto za mchana kwani tangu lini kikwete akakubali mapendekezo km haya"
Ubunge hawezi achia kwani kanuni za bunge na katiba bado vinaruhusu mafisadi kuwa waheshimiwa. Tena, hawana aibu kabisa hata mtu akipatwa na kashfa ya aibu lakini ubunge haachii.
Hivi ubunge sio wadhifa?
Damn!
Aahh kumbe tetesi! Ntarudi
matetesi matetesi:A S 103:
=Bigirita;2222229]Huna uhakika sasa unaleta ya nini?