BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
At what Price myfriend..., at what Price???!!!!!!!
Huku ndio kununua Baiskeli kwa bei ya Ferrari
Ameamua kuondoka baada ya kukamilisha ufisadi kubwa alioufanya na si ajabu ile pesa ya mitambo ya Richmond/Dowans ya $94million aliyodai anastahili kulipwa na TANESCO kishalipwa ndio maana kaamua kubwanga manyanga. Hebu tufuatilie hili tujue kama ile pesa ya ufisadi ambayo RA hakustahili kulipwa, imelipwa au la.