Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Unazungumziaje kanuni inayowahesabu wawili wanaoishi kinyumba kwa zaidi ya miaka miwili kuwa ni sawa na wanandoa?
Hiyo dhana haipo kwajili ya kuhalalisha kubebana kiholela na inatumika pale kunapokua na swala la matunzo na wanapotengana kwajili ya kugawa mali walizochuma na kuamua kuhusu matunzo/malezi ya watoto lakin wahusika hawana haki ya kudai talaka wala fidia ya adultery. Mtu mwingine anawez kuingilia uhusiano huo bila kua na matokeo yoyote ya kisheria.
 
Ni kweli lakini Tuipe nafasi mahakama na waamuzi wote,Mungu yuko upande wetu.

Hata kama tumeitwa wazinzi Kwa Mungu hakuna kosa lisilosamehewa kama utatubu kwa kudhamiria.

Ukweli wa mambo yote haya utawekwa wazi na mapenzi ya Mungu yatasimama.

Kila mtu ana dhambi na anazini nakubaliana na wewe ukitubu kweli kwa dhati tunaamini tunasamehewa. Binafsi sijui wewe ni dini gani na pia sijui ndoa ya mwanzo uliufunga kanisani ama serikalini. Lakini kama wewe ni mkatoliki ama the like, na ulifunga ndoa kanisani bado unaendelea kuzini unapolala na mwanaume mwingine. sasa huo udhati wa kutubu sijui utakuwaje, maana karibu kila siku dhambi hiyo hiyo itakuwa inajirudia.

Labda kama ndoa ya mwanzo ilikuwa ya kimila ama kiserikali, hapo napo sijui inakuwaje maana imeandikwa "kilichounganishwa na Mungu binadamu hakiwezi tenganishwa na mwanadamu"

Na lile jopo lilimfuata bwana Yesu likamuuliza kwanini kwa sheria za Musa ziliruhusu kutoa talaka na kuvunja ndoa, lakini Bwana Yesu aliwajibu ni kwa sababu ya tamaa za mwili wenu lakini mimi(Yesu) nawaagiza kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kivunja.
 
Unahabari Mwenyekiti wako aliifanya nini ndoa ya fumo felician, number 11 machacha wa Pamba ya Mwanza then Yanga? unajua wewe. tumbafu.

hoja ni kwamba nchemba na huyo mwenyekiti wangu pamoja na padri mstaafu slaa wote ni mafuska kama unafahamu mwanamke kama josephina ni mke wa mtu unapora na kabla ya ndoa unampa ujauzito lina tunalitetea kweli ? basi tuna matatizo,si viongozi wa cdm ama ccm wote ni matatizo matupu
 
Ni kweli lakini Tuipe nafasi mahakama na waamuzi wote,Mungu yuko upande wetu.

Hata kama tumeitwa wazinzi Kwa Mungu hakuna kosa lisilosamehewa kama utatubu kwa kudhamiria.

Ukweli wa mambo yote haya utawekwa wazi na mapenzi ya Mungu yatasimama.

Thats another bullshit
Kwahiyo Shetani yupo upande wa Rose? is that what you means

But what kind of God are you talking about.....................umezaa nje ya ndoa, umevunja ndoa yako takatifu na ya Dr Slaa pia for your own benefit, then you came here in the name of God.
Forget about God hapa, tujadili sheria tu. vinginevyo wewe ni mzinifu tu mbele ya Mungu na katu hayupo upande wa wazinzi(thats not me, its according to Bible and you knew it)

If you got nothing to say then you better rest your keyboard more than showing how..................
 


Huyo ni mwalimu ndugu yangu, na ndiyo maana watanzania wanajiuliza tumefikaje hapa? With Mwalimu ,watu walijuwa idadi ya watoto wake, na mwalimu mwenyewe alikuwa anacheza bao na watu mtaani. Haikutokea Mwalimu akafanya kikao na wezi. Sasa kama unataka kusema tutumia 'codes' za Mwl pia useme kwa nini na mambo gani na kwa nani? Miaka mingapi sasa viongozi wanarandaranda huku mitaani na mashangingi yao?
 
Thats another bullshit
Kwahiyo Shetani yupo upande wa Rose? is that what you means

But what kind of God are you talking about.....................umezaa nje ya ndoa, umevunja ndoa yako takatifu na ya Dr Slaa pia for your own benefit, then you came here in the name of God.
Forget about God hapa, tujadili sheria tu. vinginevyo wewe ni mzinifu tu mbele ya Mungu na katu hayupo upande wa wazinzi(thats not me, its according to Bible and you knew it)

If you got nothing to say then you better rest your keyboard more than showing how..................

Kiongozi naona kama wewe ni msemaji wa mungu vile? una maagizo mengine labda, kama umeme utarudi lini huku Dodoma?
 
Asikomae siku zote na hiyo ishu, mpaka asikie watu wanataka kuoana, au na yeye alikuwa anavinjari na king'asti aliyekuwa anamkosha roho yake zaidi, akajisahau
 
Asikomae siku zote na hiyo ishu, mpaka asikie watu wanataka kuoana, au na yeye alikuwa anavinjari na king'asti aliyekuwa anamkosha roho yake zaidi, akajisahau

Mkuu the all saga hapa ni uzinzi mwanzo mwisho kama tutaliangalia hili swaga kwa jicho la dini
Najaribu kumsisitizia tulalie kwenye taratibu na sheria zetu tu na si kuwaona wengine wapo na shetani
 
Kiongozi naona kama wewe ni msemaji wa mungu vile? una maagizo mengine labda, kama umeme utarudi lini huku Dodoma?

Mkuu the all saga hapa ni uzinzi mwanzo mwisho kama tutaliangalia hili swaga kwa jicho la dini
Najaribu kumsisitizia tulalie kwenye taratibu na sheria zetu tu na si kuwaona wengine wapo na shetani
 
Mkuu the all saga hapa ni uzinzi mwanzo mwisho kama tutaliangalia hili swaga kwa jicho la dini
Najaribu kumsisitizia tulalie kwenye taratibu na sheria zetu tu na si kuwaona wengine wapo na shetani

I feel for her, or anyone ambaye analazikma kujadili mambo yake ya ndani hadharani. Good luck to all involved. Natafuta tochi ntoke huku kwenye giza.
 
Alikuwa kimya kipindi kirefu sana...aliibuka miezi miwili au mitatu kabla ya uchaguzi wa 2010 baada ya magamba kumpa bulungutu la nguvu na kisha akapotea kabisa, sasa inaelekea kishachukua bulungutu jingine la magamba ili amchafue tena Dr Slaa.

Hajui siku zote ukweli utasimama na mengine yote yatapita
 
Ni kweli lakini Tuipe nafasi mahakama na waamuzi wote,Mungu yuko upande wetu.

Hata kama tumeitwa wazinzi Kwa Mungu hakuna kosa lisilosamehewa kama utatubu kwa kudhamiria.

Ukweli wa mambo yote haya utawekwa wazi na mapenzi ya Mungu yatasimama.

Hivi Rose Kamili yeye hana Mungu?
 
Thats another bullshit Kwahiyo Shetani yupo upande wa Rose? is that what you means But what kind of God are you talking about.....................umezaa nje ya ndoa, umevunja ndoa yako takatifu na ya Dr Slaa pia for your own benefit, then you came here in the name of God. Forget about God hapa, tujadili sheria tu. vinginevyo wewe ni mzinifu tu mbele ya Mungu na katu hayupo upande wa wazinzi(thats not me, its according to Bible and you knew it) If you got nothing to say then you better rest your keyboard more than showing how..................
kijana,chunga mdomo wako. wewe ndiyo unapaswa kunyamaza maana hujui unachoongea. Take your time,toa kwanza boriti nani ya kengeza lako.
 
Kama Rose Kamili ametumwa amchafue Dr. Slaa, basi atambue ya kuwa huenda akaishia kujichafua mwenyewe na zaidi, akamuongezea umaarufu Dr. Slaa!
Ikumbukwe ya kuwa, watoto wake ni over 18yrs, hivyo ni watu wazima, je mtu mzima anatelekezwaje na mzazi wake?
 
Hivi Rose Kamili yeye hana Mungu?
Hata wewe siwezi kukusemea kama una mungu ama la,kwakuwa Kucha hamuishi kukaribisha waganga. Siyo kazi yangu kumsemea mwingine. Riziwani,kati ya watu wote,wewe hupaswi kufungua ubongo wako hapa,maana................................. umeoza..............
 
Mungu akiwasemehe nyinyi basi hakuna mwanadamu atakayeingia motoni kwa hatia ya UZINZI!
 
Back
Top Bottom