Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

MkamaP Sasa tunajadili nini siku nzima maana wamejaa kuanzia Ohio mpaka Dodoma? Sasa hivi mji wa Dodoma kumekucha!
 
Last edited by a moderator:
Sasa tunajadili nini siku nzima maana wamejaa kuanzia Ohio mpaka Dodoma? Sasa hivi mji wa Dodoma kumekucha!

Ndiyo maana kama watu tuliojaliwa akili inapaswa kuweka viongozi wasio fanana na hao jamaa walio ohio mpaka dodoma.
 
Sasa tunajadili nini siku nzima maana wamejaa kuanzia Ohio mpaka Dodoma? Sasa hivi mji wa Dodoma kumekucha!
FJM,
Twende nyumbani watakatifu akina askofu Ritz, kobelo nk wamekimbia. Chama naye simwoni tena. wanatupotezea muda.
Halafu mwenye ndoa yenye matatizo na mwizi EPA, RICHMOND, BUZWAGI, AKAUNTI USWIZI ni nani mbaya zaidi kwa watz?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hata kama umezaa watoto 10 na mtu mkashindwa kufunga naye ndoa akija mtu mwingine atakata kufunga naye ndoa hakuna pingamizi. Pingamizi lipo tu kama una CHETI HALALI CHA NDOA kama rose kamili hana imekula kwake. hamna kesi hapo.

Unaongelea ndoa ya wapi mkubwa? nafikiri Tanzania inaruhusu ndoa ya mme mmoja na wake wengi kwahiyo hata kama wangekuwa bado wanaishi pamoja Slaa bado angeweza kufunga ndoa, Lakini kama Slaa anataka ndoa ya kanisani imekula kwa Slaa. Kwa ndoa ya kanisani haina talaka hata mkipeana talaka kanisa bado linahesabu mko kwenye ndoa unless mmoja afikwe na mauti.
Na ukishakula kiapo cha upadre hata ukitoka, kanisa bado linahesebu wewe ni padre forever.
 
Ndiyo maana kama watu tuliojaliwa akili inapaswa kuweka viongozi wasio fanana na hao jamaa walio ohio mpaka dodoma.

Kama nani? Dovutwa?

Niliuliza vigezo vinavyotumika ku-judge katibu wa CHADEMA, lakini naona kuna chenga nyingi nyingi sana.

Na ningetaka nione test ya hivyo vigezo kwa wagombea wote wa urais 2010, makatibu wote wa vyama vya siasa, spika/naibu na wenyeviti wa bunge.

Hawa ndio watu wanaofanya maaumuzi. sasa kama ni kuwapima basi tupime wote, lakini hiii cherry picking ni kukwepa hoja tujikite kwa mtu mmoja kumbe wengine are just as bad if not worse.

Sasa leteni report za wengine hapa.
 
Unaweza kuweka ushahidi hapa kwamba haya ndio maelekezo yaliyo kwenye Biblia?

Kinachoongelewa hapa ni jukumu la kutunza watoto bado linabaki lenu sote ndiyo maana mnatenganishwa kila mtu aishi kivyake. Mkeo akifariki utaitwa ukamzike hata kama alikuwa anaishi na mtu mwingine vivyo hivyo kwa mwanamume.

Hali iko tofauti nchi za wenzetu ambapo mkipeana talaka mahakama haikurusu kuwaona watoto wako wakiwawanaishi na mkeo mpaka upate kibali cha mahakam hufanya hivyo.

rose kamili anajua fika hakuwa mke halali wa Dr. Slaa ndiyo maana amekimbilia mahakamni ili ahakikishiwe matunzo ya watoto lakini hawezi kuipinga hiyo ndoa.

Ndoa huwa inapingwa kanisani kwa kuleta vithibitisho (cheti halali cha ndoa). kuzaa na mtu watoto siyo uthibitisho wa wewe kuwa ni mume wako.
 
Mkuu,
Wewe ndiyo umenifungua macho.
Rose anajua hawezi kulazimisha mapenzi ya Dr Slaa kwake.
Rose anajua kuwa hakuna watoto wadogo wanaohitaji matunzo yao kwa sasa waliotelekezwa.
Rose anajua kuwa Most likely yeye ana pesa kuliko Slaa.
Swali lina baki kwanini Rose kaenda mahakamani? and why now?


Mkuu sikushangai kwa mapenzi yako kwa Dr Slaa yanakutia upofu, na nadhani hata siku Dr Slaa akijkwaa chumbani kwake utasema kuna mkono wa CCM

Nilikuuliza kuwa hivi wewe unajua matatizo ya familia ya Dr Slaa kuliko Rose Kamili?
Nakuwekea tena hapa chini sehemu ya malalamiko yake na uyapangue kwa hoja na si kutuletea hadithi za sungura na fisi hapa


''According to the petitioner, their happy relationship started turning sour in 2009 when Dr Slaa started a relationship with Ms Mushumbusi to break the oath of marriage.

She claims that the Chadema leader started neglecting his duty as husband and father to the family by spending nights outside his home and misusing family resources to lead a luxurious lifestyle with his lover. According to the petitioner, Dr Slaa’s act of having an adulterous affair publicly, is not only a breach of the matrimonial oath, but the same is also inflicting psychological torture, amounting to cruelty on her.

“Since 2009 Dr Slaa has abandoned the family such that she has been compelled to bear full responsibilities for the upkeep of herself and the two children, including food, clothing, shelter as well as fees for higher education.

Ms Kamili also wants the court to order Ms Mushumbusi to pay her Sh500 million as damages for adultery as well as causing Dr Slaa to desert her and his family. She also wants Sh50 million in compensation for expenses incurred in maintaining herself and her family''.

Je unatatizika na nini katika madai ya Rose Kamili?
Unajua ni kukosa hoja na kuanza kulia lia eti alikuwa wapi sikuzote, hakuna tofauti na walio muona Vincennt nyerere mjinga alipo muhoji Mkapa kuhusu kifo cha Mwalimu na kuulizwa na wajinga alikuwa wapi sikuzote?
Haki ya mtu ipo pale pale siku zote, na huwezi kujua Rose na Dr Slaa walikuwa wanakubaliana nini na hadi leo wafikishane mahakamni

Rose haendi mahakamni kudai kurudiana na Dr Slaa wala kutafuta mahaba ya Dr Slaa
Rose namekwenda mahakamni kumtaka Dr Slaa kuwajibika kama baba wa familia na kuacha kuoa hadi hapo atakapo maliza ndoa iliyopo ndio aingie nyingine.......huu ni utaratibu wa akawida kabaisa wa kisheria na kama ulikuwa hujui basi jua hivyo toka sasa

Sina matatizo na mahusiano ya Dr Slaa lakini sikubaliani na watu mnaotumia nguvu nyingi kumuona Rose Kamili ni Mpuuzi fulani anayemsumbua Mtakatifu wenu kwasababu ya mapenzi yenu binafsi kwa Dr Slaa

Rose Kamaili ni binadamu timamu naufahamu na anjua haki zake anapozitumia aachwe fanye hivyo na si kututolea mifao ya akina Mandela kwani wao walitelekeza familia?
Wewe unaweza kujua ni namna gani Dr Slaa amemuathiri Rose hadi akafikia uamuzi huo? au ukomo wako wakufikiri umeishi kwa Dr Slaa kutaja liast ya mafisadi tu hivyo asiguswe

Kama unaweza muulize hata mzee Mtei ni jinsi gani wamejaribu kusuluhisha ndoa yao alakini huyo slaa hata kuimaliza ndoa hataki anakimbilia kuo mke mwingine na unataka watu wamuone anabusara kwakuwa mkulu naye anawatoto wa pembeni

Wewe kiongozi kutumia muda mwingi kuonyesha Rose kamili anatumika na CCM ni kusababisha mikanganyiko isiyo na ulazima, huwezi kumzuia mtu kudai chake eti kwasababu Dr ni katibu wa chama

Kama wewe unapenzi ya dhati kwa Dr Slaa nakushauri mwambie amalizane na Rose kitaratibu kama Josephine alivyomalizana na mumewe then waliendeleze mbele kwa mbele
Lakini kama hiyo ndoa anayodai Rose ipo basi jua anatumia haki yaki yake kisheria kama mke halali hadi hapo mahakama itakavyo amua vinginevyo.
 
kinachoongelewa hapa ni jukumu la kutunza watoto bado linabaki lenu sote ndiyo maana mnatenganishwa kila mtu aishi kivyake. mkeo akifariki utaitwa ukamzike hata kama alikuwa anaishi na mtu mwingine vivyo hivyo kwa mwanamume. hali iko tofauti nchi za wenzetu ambapo mkipeana talaka mahakama haikurusu kuwaona watoto wako wakiwawanaishi na mkeo mpaka upate kibali cha mahakam hufanya hivyo.

rose kamili anajua fika hakuwa mke halali wa Dr. Slaa ndiyo maana amekimbilia mahakamni ili ahakikishiwe matunzo ya watoto lakini hawezi kuipinga hiyo ndoa. ndoa huwa inapingwa kanisani kwa kuleta vithibitisho (cheti halali cha ndoa). kuzaa na mtu watoto siyo uthibitisho wa wewe kuwa ni mume wako.

Kazi ipo: Kwa hiyo huu ndio ushahidi niliokuomba kutoka kwenye Biblia ?
 
Hata kama anataka msaada,mahakama huw pia inaangalia na uwezo wa mama watoto.Wanaangalia uwezo wapande zote mbili.
 
Mkuu sikushangai kwa mapenzi yako kwa Dr Slaa yanakutia upofu, na nadhani hata siku Dr Slaa akijkwaa chumbani kwake utasema kuna mkono wa CCM...

Kuna vitu viwili tofauti hapa watu wanashindwa kutofautisha

"MARRIED AND WEDDED WIFE" na "MARRIED WIFE"
 
FJM Wewe ndo unakwepa hoja, hoja hapa ni kuwa asiye mwaminifu kwa vitu vidogo hata vikubwa pia. Hao walioko serikali wakati hawakuwepo hawakuwa waaminifu kwa vitu vidogo lakini bado tukawapa mambo makubwa na madhara yake ndo hayo, ufisadi kwenda mbele.

Hivyo rai yangu, ni kuwa mtu yeyote anayetaka kuwa kiongozi na kwa vile hatujawahi kumpa vitu vikubwa tumpime uaminifu wake kwa vitu vidogo. Na yule tuliyewahi kumpa vitu vikubwa tumpime kwa vitu vidogo na pia vitu vikubwa.

Na kama tukiwakuta sio waaminifu ama kwa vitu vidogo ama vikubwa na tukaendelea kuwaamini zaidi kuwapa kuwapa vitu vikubwa ama kuendelea kuhodhi vitu vikubwa.

Hakika sie ni tutakuwa wendawazimu.
 
Last edited by a moderator:
hilo sawa kwa wailsm na siyo wakristo

Kwa wakristo Slaa hatafunga ndoa. Nakubaliana na wewe hilo la miaka 20 kama lilikuwa pingamizi limepelekwa kanisani, lakini kama lingepelekwa serikalini hilo pingamizi ni halali, ukiishi na mtu miezi 6 tayari inahesabu mke/mme.

serikali inatambua ndoa za aina zote za kiislamu/kkirstu na kipagani. Kwani wapagani limit yao ni wanawake wangapi na cheti cha ndoa nani anakitoa cha wapagani?
 
kinachoongelewa hapa ni jukumu la kutunza watoto bado linabaki lenu sote ndiyo maana mnatenganishwa kila mtu aishi kivyake. mkeo akifariki utaitwa ukamzike hata kama alikuwa anaishi na mtu mwingine vivyo hivyo kwa mwanamume. hali iko tofauti nchi za wenzetu ambapo mkipeana talaka mahakama haikurusu kuwaona watoto wako wakiwawanaishi na mkeo mpaka upate kibali cha mahakam hufanya hivyo...
Ukiandikisha ndoa katika kanisa katoliki na wewe mwanaume uliwahi kuzaa na mwanamke mwingine, hiyo ndoa haitafungwa mpaka yule mwanamke uliyezaa naye aandike barua ya kukukubalia ufunge ndoa.

Sibahatishi naandika kama mwenyekiti wa Jumuiya ndogo ndogo na ni kitu kimemtokea mwanajumuiya wangu.
Nisichoelewa hapa hiyo ndoa ya Dr. Slaa inafungiwa kanisani au kwa Mkuu wa Wilaya? Kama ni kanisani ni mpaka apate ridhaa ya mama watoto wake Rose Kamili.
 
Majahili wameshindwa tena.Kumnunua Rose Kamili ili kupunguza kasi ya CDM kuingia Ikulu ni kupaka upepo rangi.Huyu Rose tuhuma zake ziko waziwazi sasa kwamba kalipwa mamilioni ya Fedha ili kufifisha kasi ya kulikomboa Taifa.Tunamwapia hatafanikiwa.Shibuda alijaribu ameshindwa vibaya.Rose Kamili itamkuta aibu kuu muda si mrefu.Tunamshauri arudi CCM walikomtuma awaambie kazi waliyompa ameshindwa.Nani kamdanganya anaweza kupambana na nguvu ya umma?
 
Mkuu sikushangai kwa mapenzi yako kwa Dr Slaa yanakutia upofu, na nadhani hata siku Dr Slaa akijkwaa chumbani kwake utasema kuna mkono wa CCM

Nilikuuliza kuwa hivi wewe unajua matatizo ya familia ya Dr Slaa kuliko Rose Kamili?
Nakuwekea tena hapa chini sehemu ya malalamiko yake na uyapangue kwa hoja na si kutuletea hadithi za sungura na fisi hapa
....

Paulss;Unanishangaza sana unapolazimisha wenzao kuwa independent thinkers wakati hata wewe uko biased, namna ulivyoelezea ni wazi kabisa umeishatoa hukumu kwamba DR amekosea, unachokifanya ni kutumia maneno fulani hivi ambayo nayo critical thinker anaweza akayainterpret kama ni stahiki kutumiwa na independent thinker.

Hautaki kuona kwamba ni relevant kuhoji wapi alikuwa rose muda wote huu?
Maelezo uliyoweka hapa yanasema "According to the petitioner, Dr Slaa's act of having an adulterous affair publicly, is not only a breach of the matrimonial oath, but the same is also inflicting psychological torture, amounting to cruelty on her."

hata wewe unajua kwamba mahusiano ya Josephine na Rose yalianza muda mrefu na jamii nzima inayaelewa, kwa nini rose hakusikika toka mwanzo akilalamika kwamba anakuwa tortured psychologically, hiyo hayo maumivu ndio yameongezeka zaidi sasa.

Hivi wewe kwa akili zako unaweza ukaangalia mpenzi wako anachukuliwa na mtu mwingine ukakaa kimya alafu wakitangaza mipango ya ndoa ndio uanze kulalamika in the name of love or breach of matrimonial affair?

Kwamba alipwe na Josephine kwa sababu alimlaghai DR. DR amekuwa under eighteen kwamba badala ya kulalamikiwa kwa makosa yake alalamikiwe mtu mwingine, au Josephine amekuwa ni jini mahaba?

Unasema DR afanye process za kumuacha Rose, Processes zipi? Ampe talaka? au afanye nini?
 
Nimesoma karibu posts zote, nimejifunza yafuatayo
1. Slaa aliachana na Rose mwaka 2009, watoto wakiwa na 22 years. Kisheria, hawa wanahitaji matunzo?
2. Slaa ameishi na Rose, pia na Josephine kwa zaidi ya miaka 2, na wote amezaa nao. ???

Ushauri wangu
1. Tunahitaji mahakama ya kadhi... oh, no, kumbe ni ya waislamu tu!!!

Hii ishu ni ngumu kifamilia, ila kisiasa haina effect maana ilishachuja tangu 2010.
 
Kwa sheria za Tz na za kimataifa mtoto wa over 18 years na hao wake ni 25 years anahitaji support? Huyu mama tena wamfukuze CDM kabisa. Siku zote alikuwa chooni anatoa pupu au alikuwa anawaona hawa Dr. na Mchumba? Au Donge alilopatia limepungua? Something fishy here and she gota reach no where?
 
Back
Top Bottom