Kaka, kauli yako inapunguzwa nguvu na ile ya Rose anayedai kuwa mmewe katelekeza watoto. Vinginevyo utushawishi kuwa ndoa hiyo na malezi ya wale watoto unayafahamu kuliko mama yao mzazi
ANAESEMEKANA kuwa mchumba wa babu dr slaa, bi mshumbuzi alie mchafua mbunge wa jimbo langu la iramba magharibi mh. mwigulu nchemba, mama huyo mwizi wa penzi mwenye ndoto za alinacha yakuwa 1st lady wa magogoni alimchafua mwigulu na kututukana cc wapiga kura wake kwa kutuambia turudi shule tukasome,,,,,
Ndipo tulipo ingia kwenye maombi makali ya kulaani kitendo hicho hatimae mungu kajibu maombi kwa kumliza mchumba wake mtarajiwa mbele ya mahakama wakati ule mshumbuzi alizani togwa kumbe ni mbege
haiwezekani mtu wa karatu akaja kutuchagulia kiongoz wa kutuongoza sisi wana iramba, tuna imani na mbunge wetu na bado tunamwitaji ukizingatia mbunge wetu hajawa babu baba.....
mungu asante kwa kujibu maombi yetu cc wana iramba, na tumesikia anakuja tena na oparesheni sangara tunaomba sasa ashindwe na alegee kama alivyo acha kuongoza kondoo wako na kuanza kuwa mzinifu vilevile tunashukuru kwa kutompa vigezo vya kuwa Rais lakini bado haja koma sasa bwana tenda miujiza
hiyo Dr. ni mjomba wako?
Kazi ipo...Chama la Wazinzi/Wagoni....Mwenyekiti Mgoni,Katibu Mzinzi wabunge maarufu wote to mention few Zitto,Mnyika,Mdee na juzi kaingia Nassari wote Wazinzi,hawa ndo tunataka kuwapa dola...hivi itakuwaje?
wazinzi ni wengi ila hujificha. Na kama wewe si mmoja wao kuwa wa kwanza kumtupia Dr Slaa jiwe
Dr Kitila Mkumbo ndiyo mtu pekee wa kulijibu hili swali. yeye ndio alikabidhiwa jukumu hili.jamani huyu mwanamke alipataje ubunge wa viti maarumu cdm mbona nashindwa kujua nijuzeni without prejudice!
unaweza ukaweka hapa ushahidi kwamba baba yako ni baba yako kweli?Ahaaa haaaaaaaaaaaa hamkosi la kusema aibu kubwa babu yule muangalieni atakuja jifia juu ya kiuno mje mseme serikali imemua mzinifu mkubwa hana hata haya utelekeze watoto wako mwenyewe kwa sababu ya kimada lol kali hii !
Chama
Gongo la mboto DSM
hapo kwenye blue nakuhakikishia humjui.Je ni kwanini kabla ya Rose kwenda mahakamani Slaa alikataa wito wa Maaskofu ili kulimaliza hili jambo nje ya mahakama? ila unajifanya unajua na hapo kwenye Red mwaka 2010 Dr .Slaa hakutangaza ndoa na Josephine na jumapili iliyopita ndiyo ilikuwa Tangazo la mwisho kanisani kwaajili ya Pingamizi wewe unadhani Rose kamili angefanya nn?
je unajua ni usumbufu gani Josephine analeta kwa familia ya Rose?
Je akishatambulika kisheria unajua ataenda umbali gani?
kimsingi nakubaliana na wewe hii haiwezi kuwa hoja ya kumfanya slaa asiweze kuwa Rais ,ila cha muhimu ni kulimaliza hili moja kwa moja na siyo jinsi yeye anavyotaka kuliacha juu juu.
In short Rose alikuwa anataka hili jambo walisettle officially kabla hajamove foward na mwanamke mwingine.
MAGAMBA ni mabingwa wa kutafuta kesi ndogo ndogo za namna hii. Je Mnamkumbuka Anjelina wa Dr Lyatonga Mrema?
Asante nimekaribia! navyojua mimi kuna tofauti katii ya maadili na upendo. Dr slaa anadaiwa na mzazi mwenzake kuwa amewatelekeza watoto wake Emiliana na Linus hapa anamaanisha hana upendo na watoto wake, swali ! kama hana upendo na watoto wawili je anaweza kuwa na upendo na watanzania milioni 40?
Kuhusu maadili pia Dr Slaa nina shaka nae maana ile shutuma ya kumfukuza mhasibu wa chama kwa kosa la kukataa kumpatia mchumba wake 10 milioni bado hajajibu mpaka leo. Kwenye kampeni kule Arumeru halikwepa kujibu hizi shutuma
Hivyo Dr Slaa amekosa upendo na maadili. Kwenye uzinifu simshutumu kwa lolote maana hakuna Lijari hasiyezini
Walikuwa wameoana?
Anawatunza kwa kodi yako? Kwani yeye halipi kodi? Hafanyi kazi halali inayompatia mshahara?
Let's say an watoto mia na wanawake mia, whats your point?
unapoamua kuachana na mwenzi wako utaratibu unakuwa vipi?walisettle kivipi? ampe talaka au?
Hilo la watoto tulisha maliza, hana watoto, ana watu wazima, labada kama unamzungumzia Junior wa Jose.
Huku ulaya unakotaka kutupeka basi twende huko huko kama hujaridhika na hoja za akina mandela.
1) Rais wa ufaransa N. Sarkozy aliingia ikulu na kidosho wake, walitalakiana na mkewe - aliposhindwa uchaguzi mwaka huu.
2) Rais wa ufaransa wa sasa Mr François Hollande aliyeshinda juzi hana mke, ana Josephine wake, na Uongozi wake unaenda vizuri. Hiyo historia ya marekani wanawajibishana kwa mujibu wa sheria zao.
Hata hivyo, sisi hatuwezi kuiga kila kitu kutoka huko. Twende na utamaduni wetu. kama kuna sheria au utamaduni wa kitanzania ambao ameuvunja Slaa tuujadili hapa ambao ccm wanautimiza vizuri sana. Hapo tuna haki ya kumhukumu Slaa.
Mkuu unaonekana unaijuia vizuri familia ya Dr Slaa Kuliko Rose Kamili.
Au mwezetu watoto wako wakitimiza miaka 18 tu watimua kwako hata ada huwalipii
''According to the petitioner, their happy relationship started turning sour in 2009 when Dr Slaa started a relationship with Ms Mushumbusi to break the oath of marriage.
She claims that the Chadema leader started neglecting his duty as husband and father to the family by spending nights outside his home and misusing family resources to lead a luxurious lifestyle with his lover. According to the petitioner, Dr Slaas act of having an adulterous affair publicly, is not only a breach of the matrimonial oath, but the same is also inflicting psychological torture, amounting to cruelty on her.
Since 2009 Dr Slaa has abandoned the family such that she has been compelled to bear full responsibilities for the upkeep of herself and the two children, including food, clothing, shelter as well as fees for higher education.
Ms Kamili also wants the court to order Ms Mushumbusi to pay her Sh500 million as damages for adultery as well as causing Dr Slaa to desert her and his family. She also wants Sh50 million in compensation for expenses incurred in maintaining herself and her family''.
[h=5]There are currently 441 users browsing this thread[/h]