Rooney kweli kawamaliza, duh!

Rooney kweli kawamaliza, duh!

Hizi mechi za kirafiki dunia nzima viroja kama hivi hutokea hasa mastar wanapokuwemo. Ni changamoto kwa wanausalama kuwa makini zaidi hasa wakati wa mapumziko au tukio linalosababisha mpira kusimama kwa muda ndio watu hao wenye mihemko yao hukatiza uwanjani. Hili linaweza kuzuilika kwa kumthibiti mapema kabla hajamfikia
 
Everything now people relates it to homo sexual

Too much homophobia

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Hujasomeka mkuu,ila daaah ROONEY kwenda everton imeniuma kinyamaaaaaa
Sa inakuma nn wakat ndo klabu yake ya utotoni hvyo kaamua kurud

Sent from my Apple iPhone 7 plus using Jamiiforums mobile app.
 
wachezaji na wasanii wana ushawishi mkubwa kwa jamii sioni tatizo la jamaa tatizo la watanzania ujuaji mwingi mnakosoa hata furaha ya mtu kuna watu walizimia kumuona michael jackson tena ngozi nyeupe

pele na maradona vipi ushawishi wao achilia mbali ronaldo na mess
#mr ronaldo

Sent from my Apple iPhone 7 plus using Jamiiforums mobile app.
 
Sasa utatoa likzo kwa Wanaume wote, kwa maana Wanaume wa Tanzania wote wako hivyo, kama huyo!
Wanaume wa Dar tu ndio wapo hivyo.

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 
Waafrica bhana!! wamelemazwa kuwa wenye aibu na wasioweza kuexpress their feelings wakifikiri ni aibu au ajabu, ni kawaida sana kwa mtu maarufu kupendwa na hata mtu wa jinsia yake, uzunguni tena ndio kabisa maana watu wanapanga mpaka foleni kusainiwa hata mashati waliyovaa, bongo hakuna kisa wanajifanya eti ni kushoboka na ndio maana hatuendelei katika sekta hizo sababu ya kujifanya wajuaji na kuacha kusapot vya kwetu
 
Acheni wivu, HUYO NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUMKUMBATIA ROONEY, NANI MWINGINE? wanaosema rooney ni nani, huyo ni mchezaji aliokua man united alikua anakunja kibunda cha 300k kwa week zaidi ya mil 670 kwa week.. hizo ni level nyngne kaja hadi temeke jamaa kaona ajitose

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
wanajifanya hawataki kumkubali ndo maana hawawi kama yeye
 
Huyo jamaa aliyeshikwa kiuno kama ninamjua vile, sio wa CCCM yule?
Eti Barbarosa , Sio member mwenzetu kweli yule?
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom