JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,879
Yaani huyu alivyomzimia rooney ni sawa na james delicious alivyomzimia jux. Bwabwa tuu wala siyo ushabiki huo.Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
![]()
Sent from iphone 7 plus
Yaani huyu alivyomzimia rooney ni sawa na james delicious alivyomzimia jux. Bwabwa tuu wala siyo ushabiki huo.Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
![]()
Sawa! naona ulikuwa unatimiza ndoto yako.NI MAWAZO YAKO YALIYOCHAFUKA TU
Yaani huyu alivyomzimia rooney ni sawa na james delicious alivyomzimia jux. Bwabwa tuu wala siyo ushabiki huo.
Sent from iphone 7 plus
wivu unakusumbua, hata yeye kamshika kiuonoHuyu hata kutoa 071... yupo tayar
HAHAHAH MWONE KWANI NI MIMI??Sawa! naona ulikuwa unatimiza ndoto yako.
Nimeona unajitetea nikajua umeshatoka mahabusu hahahaHAHAHAH MWONE KWANI NI MIMI??
Ana mpaka jasho tu, dume zima linatutia aibu. Nitoke from nó where niende kumpa hug... This is a bull shitMwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
![]()
Hee. Hata nami nimesikia hivyo, nikadhani maneno ya mtaani.Mwenzenu alivyotoka hapo hakuoga...
Sasa hivi kitaani kwake anamtoza kila mtu buku buku kwa kila anayehitaji kumkumbatia maana bado ana ile harufu ya Rooney...
Kwahiyo kama wazungu wanafanya na sisi tufanye????Vitu vya kawaida hvo ata wazungu wenyewe wanafanya saana hyo mambo
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Vitu vya kawaida hvo ata wazungu wenyewe wanafanya saana hyo mambo
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
WATANZANIA KWA KUDHARAURIANA MBONA MAMBO HAYA WANAFANYA KILA MAHALI DUNIANI INGAWAJE SIO VIZURIAcheni wivu, HUYO NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUMKUMBATIA ROONEY, NANI MWINGINE? wanaosema rooney ni nani, huyo ni mchezaji aliokua man united alikua anakunja kibunda cha 300k kwa week zaidi ya mil 670 kwa week.. hizo ni level nyngne kaja hadi temeke jamaa kaona ajitose
sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
wachezaji na wasanii wana ushawishi mkubwa kwa jamii sioni tatizo la jamaa tatizo la watanzania ujuaji mwingi mnakosoa hata furaha ya mtu kuna watu walizimia kumuona michael jackson tena ngozi nyeupe
pele na maradona vipi ushawishi wao achilia mbali ronaldo na mess
Je huyu alieingia uwanjani akamuabudu messi kama mungu kwa sababu ya ushabiki ingekua huyu jamaa aliemfata rooney kafanya hvyo simngeongea mwaka mzimaWATANZANIA KWA KUDHARAURIANA MBONA MAMBO HAYA WANAFANYA KILA MAHALI DUNIANI INGAWAJE SIO VIZURI
Nakumiss sanaDume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......