mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Huyu jamaa jasiri sana nashauri KITENGO wamchukue jamaa hakuogopa kulambwa risasi wala nini mraDi atimize lengo lake watu wa aina hii wako tayari kufanya lolote sio sisi tulio nyuma ya keyboard cha kushangaza badala ya kuwaza mkong'oto yeye alikuwa anashangilia UPENDO WAKE KWA RUNI HAUNA MASHAKA.Wanaowaza mabo mabaya ni wa kuwaonea huruma.ht Mama Samia angewaza mabaya asingeamuru kijana aachiliwe.