Kama wewe ni shabiki wa soka na unamshangaa jamaa ujue kabisa wewe ni shabiki uchwara. Mimi mwenyewe ningekuwa karibu ningembeba Wayne Rooney begani...
Nangoja siku Chelsea ikija Bongo nitatembea kutoka huku niliko hadi Dar kwa mguu na nitawahug wachezaji wote, Antonio Konte hadi bench zima la ufundi, hao policcm wanaojifanya kuingilia furaha za watu ndo mtashuhudia ninavyowavuruga kwa kichapo.
Binafsi Chelsea ni miongoni mwa vitu vichache vinavyonipa furaha hapa chini ya jua. So simshangai mshikaji na mapenz yake kwa Man Utd& Wayne Rooney in general...
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app