PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
Hatari sana.Dume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......
-Ndumilakuwili-
Hatari sana.Dume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......
Ohoooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Huyu hata kutoa 071... yupo tayar
Duh!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Ushabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .
Ohoooo!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaani huyu alivyomzimia rooney ni sawa na james delicious alivyomzimia jux. Bwabwa tuu wala siyo ushabiki huo.
Sent from iphone 7 plus
Ndo uandike hapa?....Nakumiss sana
Huyu mshkaji sio punga kweli[emoji39] [emoji39] [emoji15] cheki alivyojiachia kukumbatiwa na BuguROONEY [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
![]()
si kwa vile i love u jamani. kuna ubayaa/.? wakati ww ni mtoto mzuri, nitafuteNdo uandike hapa?....
Nitamwita inna aje kukufumania.si kwa vile i love u jamani. kuna ubayaa/.? wakati ww ni mtoto mzuri, nitafute
simjui inna nakujua ww apoNitamwita inna aje kukufumania.
We mama wewe, acha matani ya ukweli basiUkute hata kibarua hana na shule ilimshinda
unanivunja mbavuMwenzenu alivyotoka hapo hakuoga...
Sasa hivi kitaani kwake anamtoza kila mtu buku buku kwa kila anayehitaji kumkumbatia maana bado ana ile harufu ya Rooney...
Uoni aibu kumkana mwenzio?pyee,subil na yeye akukane usiku ...simjui inna nakujua ww apo
JF wote wanajua wewe ni my wifeUoni aibu kumkana mwenzio?pyee,subil na yeye akukane usiku ...