GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,240
Likizo ya kula papachu?Ushabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .
Likizo ya kula papachu?Ushabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .
Na,ww c uhame man uHujasomeka mkuu,ila daaah ROONEY kwenda everton imeniuma kinyamaaaaaa
Wee wacha bna..JF wote wanajua wewe ni my wife
Umeelewa nilichoandika?Ujue ulikuwa tayari ushaanza kuchepuka , maana kama unampenda Huwezi kuibuka tu kama zimwi.
Romaxtim
Pspuch ndo nini?Likizo ya kula papachu?
Cc shunie,daby,Icemd 3d,innaJF wote wanajua wewe ni my wife
Yaani wabongo jamani mbona wazungu wanafanya sana hayo ni. Mapenzi kwa huyo mchezaji mbona nyie mnakimbilia ma star wenu uchwara mkiwaona wanaotoa mipasho mitandaoni![]()
unataka kuharibu na hapa pia? .aisee wee jamaa nimekukosea nini?Cc shunie,daby,Icemd 3d,inna
Triple A




Hii ingetokea Tanzania aisee sipati picha!!Je huyu alieingia uwanjani akamuabudu messi kama mungu kwa sababu ya ushabiki ingekua huyu jamaa aliemfata rooney kafanya hvyo simngeongea mwaka mzima
![]()
sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Wivu wa kijingaAcheni wivu
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Umetumia kigezo gan mkuuSasa utatoa likzo kwa Wanaume wote, kwa maana Wanaume wa Tanzania wote wako hivyo, kama huyo!
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote ila asivunje sheria.Wivu wa kijinga
Na huyu vipi unamuonaje..?Dume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......
Ni kweli. Hata ni mimi kama ni shabiki wa mtu flani nitatamani siku moja nimuone live au hata nimguse mkono. Kiubinadamu ipo hivyo..na jamaa ametimiza lengo lake amefarijika!Kila mtu ana haki ya kufanya chochote ila asivunje sheria.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Umpe likizo ya kugegeda au?mbona hayo ni mambo ya kawaida kwenye soka.Ushabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .