Rooney kweli kawamaliza, duh!

Rooney kweli kawamaliza, duh!

Simtakiii tena huyo nshampata bwana angu mwingine apa kwanza kuna mahali kanidhalilisha kasema mimi ni mbilikimo
Hata bora tu umejiondoa hapo
Maana huyo acngekwaia
Kukuletea magonjwa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Achana nae huyo kaka angu simtaki tena mwanaume gani anakukana hadharani na kukudhalilisha
Nlikua nashangaa sana kwann
Ulipotea njia kias hiki

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hii ya kukamatwa kiuno haija kaa vizuri

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
kila wazo lako limejaa mawazo hasi tu unawaza mabwabwa tu hujui kama mchezo wa soka ndo mchezo unaopendwa zaidi na watu dunuani ujuaji tu ndo mana hata taifa staz inaishua comoro kila mtu mwalimu
Kweli mkuu, kila alie shabiki wa soka lile tukio ni lakawaida sana, wapo mashabiki walioingi uchi kabisa uwanjani kwenda kuwakumbatia wachezaji wanaowakubali
 
Unamtongoza ee? Wewe kwa mahondaw si ulikuwa hivi hivi... hutaweza kukaa Naye ataishia kwa Wauza sura kina daby

Usianze kunimwagia machoz hapa
Kwann ung"ang"anie no za kaka zako
Ww size yako kina mwajuma

Mahondaw wala hakuhusu maana
Kaz yako n kula tu kwa macho

Cc daby,icemd 3d

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mwacheni apumue kama wenzake
8c1490d4cbab56ee6e1b45fd660d10bc.jpg
f127bd4375dbb27c457054b6e2748f9d.jpg
e3769447bef651e17ddbc84d5b5f9cb6.jpg
 
Back
Top Bottom