agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Me mwenyewe shibiki! kilichonitisha kushikwa kiuno tuuu..Kwa shabiki wa kandanda hili si lakushangaza sana.
Upenzi uliopitiliza na mihemuko hufanya shabiki kupagawa vilivyo japo si kwa shabiki wote.
Watu wasiofatilia kabumbu hili tukio Ndio wataliona la ajabu lakini si la ajabu kwa wapenda kandanda!
Hebu muangalie shabiki huyu alijyejitosa uwanjani kupiga selfie na Neymar Jr.
View attachment 542011
Kwa hiyo matukio kama haya yapo katika viwanja!!