mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,559
- 10,608
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenfanya nicheke kwa nguvuDada yako ina ana kibendi ina maana mimi hutaki nipige show za nje? Wewe jamaa vipi aisee
Achana nae huyo kaka angu simtaki tena mwanaume gani anakukana hadharani na kukudhalilishaMm hujanikosea unamkosea
Dada ang inna heshima kwann?
[Color= yellow]Triple A[/color]
Simtakiii tena huyo nshampata bwana angu mwingine apa kwanza kuna mahali kanidhalilisha kasema mimi ni mbilikimokuwa na kibend ndo kinachofanya
Upge show za,wazwaz kabsa
Kuonesha umeshamchoka eeh
Cc inna ulitoka,wap na huyu
Fatak
[Color= yellow]Triple A[/color]
Ukikataliwa ndo unasema watu hivii??afu ww mtoto unapenda sana ngono.
Manake umekomaa sana na kushikwa kiuno mara umnyime mmeo papuchi wakati mme mwenyewe huna na hutakuwa nae leo wala kesho.
Yani wewe leo sijui umeamkaje. Au zimejaa?
Nishaachana nae rafiki angu ana makubwa zaidi ya hayoNitamwita inna aje kukufumania.
Kwa bahati mbaya huna hata chembe ya bahati kuolewa na MTU aliemkumbatia Rooney ... Utaishia kuolewa na Mashabiki wa ndondo CupUshabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .
Hivi lini tulikuwa wote?Achana nae huyo kaka angu simtaki tena mwanaume gani anakukana hadharani na kukudhalilisha
Hatujawahi kua woteHivi lini tulikuwa wote?
Samia alisema aachiwe huruHivi huyu jamaa alipata dhamana?
! Ni kumsamehe tu..hajui alitendalo huyoNishaachana nae rafiki angu ana makubwa zaidi ya hayo
Yah ni wanaume kamili ndomana hawashikwi viuno na wanaume wenzao! Maumivu yakizidi muone tabibu.Kwa bahati mbaya huna hata chembe ya bahati kuolewa na MTU aliemkumbatia Rooney ... Utaishia kuolewa na Mashabiki wa ndondo Cup
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sasa kumbe. Afu sijakuita mbilikimo. Aliyekuita ni usserHatujawahi kua wote
Afu wewe umenimiss? Au unamuonea mwenzako wivu anavyotema tema mate na kula udongo?! Ni kumsamehe tu..hajui alitendalo huyo
Kama yapi mke wanguNishaachana nae rafiki angu ana makubwa zaidi ya hayo
Nshakitoa ki zygote chako[emoji19] [emoji19] [emoji19] achana na mmAfu wewe umenimiss? Au unamuonea mwenzako wivu anavyotema tema mate na kula udongo?
Tatizo umezoe kujifungia mule lumumba, hayo mambo yanatokea sana kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira ila kwakuwa wewe lisukule la ccm muda wote umewekwa ndani huwezi kujua mambo haya.Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
Huwa unatazama Mpira wa Uropa...?Me mwenyewe shibiki! kilichonitisha kushikwa kiuno tuuu..
Wivu kwa lipi ? Hayo maneno yako ya kukela au?Afu wewe umenimiss? Au unamuonea mwenzako wivu anavyotema tema mate na kula udongo?