CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
mie nasema acheni kutoa mapovuuuu mitt romney anachukua nchi hivi najiandaa kununua bia na vodka hapa kwa kusherehekea.mitt romney for america.
obama for america!!!!!!!
mie nasema acheni kutoa mapovuuuu mitt romney anachukua nchi hivi najiandaa kununua bia na vodka hapa kwa kusherehekea.mitt romney for america.
Una maana ya "Too close to call". Naomba kesho usiingie mitini, uwepo hapa mpaka 00:00 Eastern time.To close to call .obama will have to win 80 percent of white and Romney 35 percent minority .We have to pray for peace
Hayatuhusu, yakwetu yanatushinda, tunaanza kutolea macho ya marekani
Sasa Sister, hebu nitabirie kama mie nikifikisha miaka 60 ntakuwa Mfupi zaidi au ntabaki nilipo 🙂
Ni nini Obama ataweza tekeleza aliyoshindwa miaka tano chini ya masaa ishirini na manne? Hii nikujaribu kufanya raia wa marekani mapimbi. sandy or no sandy Obama alishindwa na kazi
obama for america!!!!!!!
Haita tokea hata siku moja, Rais wa America atabakia kuwa wa America tu sio wa dunia nzima.
Wapi Nyani Ngabu hahahah
President Barack Obama has been re-elected to a second term, defeating Republican challenger Mitt Romney.
niliangalia live broadcasting jana kutoka Emmanuel TV
kama sikusikia vizuri naomba maelezo
Tb Joshua alisema uchaguzi wa USA Obama alifanya makosa kwenye health program,alimshutumu Obama wa kufanya makosa, aliongea kuhusu vita,alidai hatutaki tena vita na kwamba uchaguzi utakuwa na small different,mtazamo wangu uliojengwa juu ya maneno ya Tb Joshuani kwamba Obama anashindwa kama kweli maneno aliyoongea yana ukweli,kama Romney akishinda tutegemee vita?
wana jf kuna mganga wa kienyeji wa kenya uko kisumu alitabiri ushindi wa obama kwa kutumia tunguri zake na TB joshwa naye ametabiri kuwa romney angeshinda sasa nani wa kuaminiwa ili tuje kumtumia hapa kwetu 2015 maoni yenu wana jf
So washindanisha nguvu za Mungu na nguvu za giza???
hapa ni nguvu za giza VS nguvu za gizaSo washindanisha nguvu za Mungu na nguvu za giza???