Romney kushinda uhaguzi??TB Joshua

Romney kushinda uhaguzi??TB Joshua

niliangalia live broadcasting jana kutoka Emmanuel TV
kama sikusikia vizuri naomba maelezo
Tb Joshua alisema uchaguzi wa USA Obama alifanya makosa kwenye health program,alimshutumu Obama wa kufanya makosa, aliongea kuhusu vita,alidai hatutaki tena vita na kwamba uchaguzi utakuwa na small different,mtazamo wangu uliojengwa juu ya maneno ya Tb Joshuani kwamba Obama anashindwa kama kweli maneno aliyoongea yana ukweli,kama Romney akishinda tutegemee vita?
To close to call .obama will have to win 80 percent of white and Romney 35 percent minority .We have to pray for peace
 
hajasomeka kabisa! au sijui mm ndo mbula! 2subiri 2one!
 
Obama atashinda kwa ushindi kiduchu!
 
Huyu jamaaa huwa anatabiri vyote kwa mpigo

kiasi kwamba matokeo yoyote yale huwa utabiri wake
akishinda Obama watasema ni utabiri wake
akishinda Romney watasema hivyo hivyo...

he is just very smart...
 
Haita tokea hata siku moja, Rais wa America atabakia kuwa wa America tu sio wa dunia nzima.

Mpaka ya Marekani itakapo dondoka, kwa sasa anaendelea kutoa baadhi ya maamuzi kwa nchi zetu
 
Tofauti ya TB joshua na marehemu sheikh YAHYA HUSEIN ni ipi hasa? naona wote wapo sawa tuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mie nasema acheni kutoa mapovuuuu Mitt Romney anachukua nchi hivi najiandaa kununua bia na vodka hapa kwa kusherehekea.Mitt Romney for America.
 
Back
Top Bottom