hapa ni nguvu za giza VS nguvu za giza
Kwan akuna wanaotumia jina la yesu kumbe matendo yao ayaendani na wanayosema, na pia hata bible inasema wapo watakaotumia jina langu lakin siyo,
wana jf kuna mganga wa kienyeji wa kenya uko kisumu alitabiri ushindi wa obama kwa kutumia tunguri zake na TB joshwa naye ametabiri kuwa romney angeshinda sasa nani wa kuaminiwa ili tuje kumtumia hapa kwetu 2015 maoni yenu wana jf

niliangalia live broadcasting jana kutoka Emmanuel TV
kama sikusikia vizuri naomba maelezo
Tb Joshua alisema uchaguzi wa USA Obama alifanya makosa kwenye health program,alimshutumu Obama wa kufanya makosa, aliongea kuhusu vita,alidai hatutaki tena vita na kwamba uchaguzi utakuwa na small different,mtazamo wangu uliojengwa juu ya maneno ya Tb Joshuani kwamba Obama anashindwa kama kweli maneno aliyoongea yana ukweli,kama Romney akishinda tutegemee vita?
wana jf kuna mganga wa kienyeji wa kenya uko kisumu alitabiri ushindi wa obama kwa kutumia tunguri zake na tb joshwa naye ametabiri kuwa romney angeshinda sasa nani wa kuaminiwa ili tuje kumtumia hapa kwetu 2015 maoni yenu wana jf
So washindanisha nguvu za Mungu na nguvu za giza???
wewe ni mtabiri mzuri ..lolObama atashinda Ingawa si kwa kishindo
Natabiri :confused2:
wana jf kuna mganga wa kienyeji wa kenya uko kisumu alitabiri ushindi wa obama kwa kutumia tunguri zake na TB joshwa naye ametabiri kuwa romney angeshinda sasa nani wa kuaminiwa ili tuje kumtumia hapa kwetu 2015 maoni yenu wana jf
Mie nasema acheni kutoa mapovuuuu Mitt Romney anachukua nchi hivi najiandaa kununua bia na vodka hapa kwa kusherehekea.Mitt Romney for America.
hapa ni nguvu za giza VS nguvu za giza
duh, mbona twatishana!?hapa ni nguvu za giza VS nguvu za giza